Huyo jamaa alikuwa Chizi asiekuwa na mafunzo yeyote huwezi kukaa peupe vile huku umeibagala manati hadharani

Hata kama ikija kujulikana kuwa ni Gaidi lakini ana uchizi vilevile.
 

Uwezekano wa kuvaa tisheti ya vilipuzi huwezi kuurule out. Hili utaliona kwa wale askari walioenda kuchukua silaha zile baada ya jambazi kuanguka chini walikuwa katika tahadhari kubwa.
 
Je kuna makundi yapo nyuma ya tukio?

Jibu: Kuna mtu atakupa jibu la hili swali humu?
 
Hii mada haikuwa kwa ajiri ya vilaza

USSR
 
Kwenye Utawala Wangu Wote Wangelala Chini!!
By Jiwe 😃😁😂😀🤣😂😂😁
 
Yule niliambiwa ni Ethiopian war veteran. Lakini inaelekea ni Somali war veteran.
Kuna stori kwamba alikuwa anaumwa nchi za nje na alikuja hapa nchini kwa matibabu.
I hope there is a simple explanation to all this. Ama sivyo tutadhani Kabul imeanguka na sasa mimekucha.
 
Jamaa aliyepiga risasi watu msikitini Newzealand unajua alikua na bunduki ngapi? Mwisho wa siku alidhibitiwa na wanausalama bila kuuawa.
Kama mapungufu yapo lazima yasemwe.

Mazingira mkuu. Lini mtaelemika. Mifano ya kukariri bila kujua swali Ni utopolo.
 
Wewe kweli kilaza, unauliza mtuhumiwa wa ugaidi kapata wapi bastola? Alijifunzia wapi kutumia silaha? Hivi unafikiri magaidi kazi yao ni kucheza disco? Huko CCM yamejaa mapooza tupu
 
mkuu uelewe kwamba ANAELINDA LINDO NA ANAE SHAMBULI LINDO Huyu anae shambulia huwa amejiandaa kimbinu baada ya muda mrefu wa kuchunguza medani! Hivyo anajua atokee wapi na muda gani Ashitukize!
Na anae linda hajui adui atatokea wapi na muda gani?
Hivyo mshambuliaji ana asilimia kubwa ya kufanikisha lengo lake kuliko anayelinda!!
 

wakishua uyo pia ni uvccm kwaiyo yote yanawezekana
 
Huyo jamaa alikuwa Chizi asiekuwa na mafunzo yeyote huwezi kukaa peupe vile huku umeibagala manati hadharani

Hata kama ikija kujulikana kuwa ni Gaidi lakini ana uchizi vilevile.

hana mafunzo ndo kawakalisha sasa polis wa 3
 

Haya wewe uliye smart mbona hujawa Jasusi tena aliyebobea, uko hapa unapiga porojo tu tena nyuma ya key board na si ajabu uko huko manerumango umejifich
 
Jamaa aliyepiga risasi watu msikitini Newzealand unajua alikua na bunduki ngapi? Mwisho wa siku alidhibitiwa na wanausalama bila kuuawa.
Kama mapungufu yapo lazima yasemwe.

Siku nyingine tutaomba uwe front line uongoze operation nzima na siyo kutoa “uzoefu” wako nyuma ya key board kwa kutolea mifano ya New Zealand
 
Jibu ni rahisi sana... ukiangalia ushahidi wa picha zilizomwaga humu na watu aliokuwa anavinjari nao, na kama picha hizo si za kutengeneza basi, ujasiri kautoa UVCCM. Sasa polisi kazi wanayo- ya kuchunguza connection ya UVCCM na huyu mfyatua risasi kwa polisi na connection yake UVCCM, isije kuwa wametibuna katikla madeal yao...
 
Inasikitisha kwa kweli Nini kilipelekea mpaka akafanya Yale Tena kijana mdogo tu! 1991[emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…