Inategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo
Mtu kama yule ambaye anaonekana amerukwa na akili ukimpiga ya mguu ataona liwalo na liwe ataanza kufyatua na kuua kila mtu.
 
Hii nchi ina nguvu ya kupambana na upinzani lakini haina maarifa ya kudhibiti matukio kama haya. I swear kuna mahali tumemkosea Mungu narudia tena kuna mahali Tz tumemwacha Mungu...Haiwezekani polisi waishie kufanya hivi.. Achaneni na siasa za CDM na CCM.. shenzzz
 
Aliyemuuwa ameokoa maisha ya wengi ila wangesubiri wamkamate angepoteza wengi, naunga mkono kuuwawa kwake. Ni taharuki hivyo ilitakiwa akili ifanye kazi chapchap.
 
Ni ngumu kuelewa dhamira ya huyo mtu mpaka sasa,napata shaka kuamini kuwa yule ni gaidi,gaidi anajiexpose kabisa akijua maadui zake ni wengi kuliko yeye? Na hapo ndipo nakubaliana na wanaosema hakupaswa kuuliwa ila kukamatwa kwa namna yoyote ile. Hakuwa na lengo la kuua raia vinginevyo ile daladala iliyokuwa mbele yake hakuna mtu angepona.

Lakini,huenda akawa gaidi pia,huenda ana wenzake nyuma,ametumwa kama chambo ili wenzake waone uwezo,utiyari,umahiri na mwitikio wa watanzania na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kifo chake kinawezakuwa ni chanzo cha taarifa muhimu sana kwa wenzake.
 
😆😆😆😆 cha ajabu Police wataanza kufanya upelelezi tena ambao utachukua si chini ya miezi 6!!
 
Alikuwa anasubiri msafara ukageuza baada ya raia mwema kutoa taarifa..
Sikiliza hapa raia akitoa maelezo ikabidi msafara urudi.
Naomba niishie hapoView attachment 1907822
Watanzania watu wakarimu sana.....huyo jamaa aliyetoa taarifa msafara kurejea ulikotoka Mwenyezi Mungu ambariki na kumfanyia wepesi katika HURSTLES zake aaamin 🙏

#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
Kuna watu wanajifanya wajuaji kila kitu ndio ni bora angedakwa akiwa mzima ila sio dhambi kua kauliwa. Unaweza kuta huyu alieandika haya alikua eneo la tukio na aliacha gari yake na kutokomea anako kujua yeye.
 
Wape uelewa zaidi hao polisi waliyomuua mkuu

Huyo mtu alikuwa na silaha na alikuwa akiwashambulia askari. Lakini pia Ameua askari wawili. Je hao askari wangetumia mbinu gani kumkamata akiwa hai? Tilia umuhimu kuwa hata kama wangemjeruhi bado wasingemkamata kwa sababu alikuwa na silaha angeendelea kuwadhuru hao askari!!

Ufafanuzi zaidi mkuu kwa manufaa ya askari we2
 
Mtu kajitoa roho utamkamata kweli?

Ova
 
Hawa watu wanaovaa hizi Kofia hizi sio wakuamini kabisa
 
Hawa polisi wetu wapo kwenye jeshi by default,wengi ni watoto wa line polisi,wazazi wao ni polisi,hawana weredi Wala Hari na wito,muhalifu anatamba nusu saa nzima katikati ya Jiji!hii ni I aibu kubwa,wangekuwa kumi,dar mpaka Ikulu ingetekwa
 
Mtu kufa haimaanishi taarifa zimepotea, saa hizi kuna watu wapo kazini watajua mambo yake mpaka ambayo yeye hakuwahi kuyajua
 
Polisi aliyefeli form4 atapata wapi akili ya kuwaza haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…