Hatuna vifaa vya kumkamatia mtu mwenye silaha tena ya kivita.
Jaribu wewe uwe unawakamata.
Simple tu kuongea familia zao utawalelea wao.
 
Inaonekana bado tuna askari wajasiri ila Wanakosa vifaa vya kisiasa. Kama huyu aliyemsogelea angekuwa na mawasiliano na wanaoona ingekuwa rahisi kwake. Siro hebu nunua vifaa
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna umuhimu wa kuimisha kikosi cha kupiga risasi kwa kuwinda a.k.a snipper sio tu vikosi vya FFU, mbwa , farasi nakadhalika kwa lengo la kudhibiti maandamanooooo....
 
Polisi wetu hawajawahi pata game ya ukweli kama ile ya kenya west gate., siku ikitokea ndio tutajuwa ugaidi ni nini.

mpaka inafika west gate maaana yake intelijensia ya nchi ni mbovu sana
 


Mtu ana silaha na ameshaua police na yupo tayari kuua police wengine unataka wam neutralize😳 huyo ni gaidi hujui kama alikuwa amevaa suicide bombs, you don’t take a chance you finish him na the rest waachie intelligence kutafuta kama wapo wengine na wao ni kuwamaliza wakigundulika kwani mpango wao ni kusababisha massacre! It’s a rule You don’t negotiate with a terrorist
 
Hatuna vifaa vya kumkamatia mtu mwenye silaha tena ya kivita.
Jaribu wewe uwe unawakamata.
Simple tu kuongea familia zao utawalelea wao.
Kwani si walipewa mafunzo!! Polisi wetu ni uchoko tu
 
Polisi wetu hawajawahi pata game ya ukweli kama ile ya kenya west gate., siku ikitokea ndio tutajuwa ugaidi ni nini.
Eti wakikutana na wanachama wa ACT wanafanya mkutano hata kama wako 10 tu na hawana hata fimbo mkononi wanaita Press eti wamekamata magaidi😅😅
 
Inaonekana wewe unataka Polisi wawa uwe chadema pia badala ya kuwakamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…