Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Ila mpwa Masters yako ya Udsm supervisor wako alikuwa nani? Mbona unatuangusha sana mwaka wa kumi na kitu huu mpwa unatutesa na mwandiko.
Na Wananzengo hawana baya wamekudoshea like kwamba wamefurahishwa na post yako.

Long live JF sema Ayayayaya.
 
Mambo Manitoba!
 
Radio mbao za Dar zimeanza!
 
Duh hajaona hasara vile anajua hata huko jela hatakaa ataondoka. Ila yote hii inasababishwa na tabia ya ndugu wa mume kudhulumu mali wajane vinginevyo mke asingehangaika kutaka kuhamisha jina wakati anajua mume aking'ata shuka nyumba inabaki yake
If that is true nachelea kusema marehemu alikua ni mjinga kama siyo mpumbavu. Na wapo wengi wa namna hiyo. Hata kama ni kweli nyumba ilikua ina jina la mumewe, alipaswa kujua hata kwa kuuliza tu kwamba alikua na haki ya kurithi hiyo nyumba endapo mumewe angefariki.
 
Nadhani marehemu hakutaka kuonekana amerithi, alitaka iandikwe jina lake ili aonekane nae jasho lake liko pale. Kwa namna fulani namwelewa ukizingatia hilo kabila lao
 
Hilo swali la 3 nani alikwambia hati ilikuwa na majina ya mme na watoto?
 
Spouses have to be very careful and empathic. Kuna moves zingine ukizifanya wakati mwenzi wako ana changamoto ya kiafya zinaweza kutafsiriwa negatively. Mgonjwa anaweza kudhani kuwa kuna mkono wa mwenzi wake kwenye changamoto anayopitia. That’s very dangerous!
 
Unataka ku shoot naye video ya kibao kata?
 
Ndio mawazo ya mke, kuwa ndugu wa mume watakuja kumfurusha humo ndani na kumpora mali zote za mumewe.
Wamfurushe kwa sababu gani? Lazima kuna namna huyo mwanamke alikuwa hayupo vizuri na mume, wakwe , mawifi na mashemeji zake.
 
Nadhani marehemu hakutaka kuonekana amerithi, alitaka iandikwe jina lake ili aonekane nae jasho lake liko pale. Kwa namna fulani namwelewa ukizingatia hilo kabila lao
She was taking an unnecessary risk. Hata kwa kufuata Customary Law, wanae ndio warithi wa hiyo mali. Labda kama alikuwa hataki wanae kuwa warithi pekee wa hiyo mali.
 
Maelezo haya yanameke sense ya kwanini Kweka kamfumua Ubongo Da Jane ,kama mwanamke alikuwa halali nyumbani ,mme anaumwa tena kansa badala ya kumfariji ndiyo alikuwa anazidi kumtia STRESS.


Mfanyie kitu chochote mwanamme lakini si KUKITEMBEZA nje ,ukimfanyia hivyo ujue una 90% ya kutenganishwa na DUNIA na 10% za kurudi kwenu.
 
Kama hii story ni ya kweli mke alikuwa na shida gani wakati hata mume akifa hiyo nyumba ni ya kwake na watoto wake? Tena hapo na kiwanja si cha kwake? Au Director kakosea script?
Kama story ni ya kweli na mke alianza kuomba divorce basi hakutaka mzigo wa kulea mgonjwa wa kansa umpotezee muda na kuhatarisha mali kuuzwa kwa ajili ya matibabu. Hii inaweza kuwa logic endapo tu hiyo hadithi ni ya kweli otherwise ni porojo kama porojo zingine.
 
Doh aysee
 
Umegonga maeneo nyeti sana. "No Woman No cry". Halafu cjui inakuwaje-kuwaje kwamba wanawake (most of them)huwa na uthubutu mkubwa sana na bila kutafakari au kuangalia madhara yanayoweza kujitokeza au matokeo ya kile wanacho jaribu na kuthubutu kukifanya- For a woman things are just as simple like that. Yan kitu chenye hatari kubwa kwao kinawezekana tena kwa wepesi sana. Huo mgogoro unaosemekana ulikuwepo, ni wa muda mrefu - muda ambao ulimtosha marehemu kutafakari zaidi na zaidi juu ya uwezekano wa matokeo Hasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…