Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Ni kweli kabisa.
 
Ni kweli, hadi huyo kweka alikua anajiuguza kwao moshi, baada ya huyo Jane kutokuwapo home kwa wakati fulani, akidai kapata safari ya kikazi.
 
Ni kweli kabisaa.
 
Gentleman,
kwenye mafamilia yetu haya yenye majumba ya kifahari, pesa mingi na wanawake warembo kuna moto mkali sana ndani yake. Uzuri ni kwa nje tu, kwa ndani ni stori nyingine kabisa.
Ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra ndani ya ndoa ili pawepo na amani.

Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, familia nyingi wanaishi kama walivyo na chache ndio kama hivyo tena 🐒
 
She was taking an unnecessary risk. Hata kwa kufuata Customary Law, wanae ndio warithi wa hiyo mali. Labda kama alikuwa hataki wanae kuwa warithi pekee wa hiyo mali.
Pengine alikuwa na mpango wa kuendelea kuzaa pindi kaka akiondoka
 
Yaan concept ya mtu anaumwa huyu awaze kubadilisha majina ya umiliki badala wafocus na ugonjwa haiingii akilini !
Kama wangekua na maelewano mazuri before mume anawajua familia yake vizuri wangekaa wakayajenga !
Kuna story bado inafichwa !
... Huko alikohamia mwanamke siku za mwishomwisho!
 
... labda jamaa alikuwa na watoto wengine kwa bibi yao!
 
Roho ya mauti ikishakuvaa tu, unaweza kuuua au kujiua.
Ni vizuri binadamu tusifanye maamuzi wakati tunapokuwa na hasira.

Hata Biblia inasema muwe na hasira lakini msitende dhambi.
 
Sasa wewe una Cancer, ukute ndugu ndo wale gombania goli, nyumba ya Nini tena? Wazo zuri ni kumuachia mke maana ataishi na watoto. Hii story Bado haijakamilika
 
Hujui sheria
 
Mpaka hapo huyo Mke alihofia ndugu wa mume wataleta shida mumewe akifariki.

Ingekuwa kabila jingine,hao ndugu wa mume wala wasingekuwa tishio kwa mjane kama kwao mambo safi.
 
Mpaka hapo huyo Mke alihofia ndugu wa mume wataleta shida mumewe akifariki.

Ingekuwa kabila jingine,hao ndugu wa mume wala wasingekuwa tishio kwa mjane kama kwao mambo safi.
Sahihi kabisaa.
 
Pengine alikuwa na mpango wa kuendelea kuzaa pindi kaka akiondoka
Kufikiria kuolewa tena mume akifa nalo ni tatizo la kifikra. Kwenye ndoa inayoongozwa na mapenzi ya dhati, spouse anakuwa in denial mpaka dakika ya mwisho. Hakuna hedging strategies zitakazokuja kichwani mwake wakati wa kumuuguza mwenzi wake.
 
Ni wazi ndoa hiyo haikuwa na mapenzi. Watu wanaopendana hawawezi kupigana risasi
 
Hapa ndugu zangu wachaga, tupate males masuri maturity.
Mnaweka pesos mbele sana kuliko utu na mapenzi ya kibinadamu.
Hivi hilo jumba wote wawili mkevnavmume wakilipoteza navkuendelea kivingine, si wataishi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…