Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

Nadhani hujamsikiliza vizuri. Punguza mihemko usikilize tena utaelewa amesema nini
 
Machawa mnatetea ugali wenu.
Awamu hii mbowe atabaki na nyie machawa tu. Chama lazima kipate mawazo mapya na mbadala.
hakuna anaebisha kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kua mwenyekiti wa Chadema mitandaoni,

Lakini ile chadema Taifa ya ufipa na hapo mikocheni, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wameamua Freeman Aikaeli Mbowe, mwamba wa kaskazini aendelee kua mwenyekiti Taifa 🐒
 
TatiZo mlilonalo ninyi mashabiki wa lissu nikwamba mmelishwa tangoopri na lissu kwahiyo mmekuwa vipofu atamkiambiwa ukweli amtaki kuamini ukweli mmebaki naushabiki ambao hautawasaidia Wala lissu aitamsaidia
 
tangu lini mbowe akachangia chama..tunaambiwa humu mbowe kuwa anakikopesha chama mfano million 300 alafu anakuja kulipwa kwa riba na kwa vile yeye ndio kashika hatamu anaweza kuchelewesha chama kulipa deni ili riba iongezeke kidogo apate faida kubwa zaidi.!
 

Hapa anazungumzia Mkutano Mkuu wa Chama ambao gharama yake ni kubwa sana ukilinganisha na hiyo ambayo watu wanapanda bodaboda kwenda kuhudhuria.
Swali muhimu hapa ni itakuwaje Makamu Mwenyekiti ameshindwa kutoa hata thumni? Ameshindwa kweli kuhamasisha watu wa Clubhouse kuchangia hata milioni 1?
Uamuzi wa nani atakuwa Mwenyekiti wa Chadema ni wa wajumbe wa Mkutano Mkuu.

Amandla....
 
Wewe kibaraka wa mwabwenye upo😆,a k a gentleman
 
rushwa rushwa rushwa inanukia chadema makamanda round hii tutakiona cha moto kama mtu anabariki rushwa hivi
 
Chama hakina Lisu kachangia Shilingi ngapi mkutano mkuu?

Anachangia tu.kupiga domo?
Mpaka ute ute mweupe unamtoka halafu anataka apewe uongozi mkuu.... huyu jamaa sidhani kama alistahili heshima tuliyompa!!
 
Huyu Lissu atauza chama chetu ubelgiji... apeleke tumbo lake huko.
 
Watasema anaropoka
 
TatiZo mlilonalo ninyi mashabiki wa lissu nikwamba mmelishwa tangoopri na lissu kwahiyo mmekuwa vipofu atamkiambiwa ukweli amtaki kuamini ukweli mmebaki naushabiki ambao hautawasaidia Wala lissu aitamsaidia
ACHA UJINGA Kasome waraka wa chacha wangwe wa mwaka 2005 ndo ujue haya mambo hayajaanza leo
 
Mkuu
Wahuni hawana aibu.

Hapo wamelamba asali
 
Clubhouse mchagieni Lissu 30m - nyie ni kutumalizia bando tu na porojo nyingiii vitendo hamna.
 
TatiZo mlilonalo ninyi mashabiki wa lissu nikwamba mmelishwa tangoopri na lissu kwahiyo mmekuwa vipofu atamkiambiwa ukweli amtaki kuamini ukweli mmebaki naushabiki ambao hautawasaidia Wala lissu aitamsaidia
Na nyumbu wa Sultan Mbowe pia mumelishwa matango pori
 
Mkuu Scars

Umeupitia waraka wa marehemu Chacha Wangwe?

Mbowe anafanya madudu makubwa sana!
 
Chacha Wangwe alimwambia aonyeshe wapi na wapi alikikopesha chama na kwa kufuata utaribu upi!

Na hicho kiasi anachokidai aonyeshe matumizi mchanganuo wake pamoja na risiti halali!

Mbowe anakuja tu anasema nimekikopesha chama!

Ajabu marehemu Wenje kufuatilia anaona gharama alizozitoza Mbowe anatoza kwa viwango vya mtalii anavyotozwa.

Na hata pesa alizozitumia kununulia baadhi ya vitendea kazi kwa ajili ya Chama ambavyo Mbowe anasema alitumia pesa yake kuikopesha ofisi, amejibinafsishia na kuwa vya kwake binafsi na si vya chama.

Huyu Mbowe tulichelewa kumjua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…