Kwa hiyo kazi ya kiongozi ni kupiga domo kama Tundu Lissu?Kwani kuchangia chama ni jukumu la kiongozi?
Huyu Mbowe kachoka, anadhani chama ni familia yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kazi ya kiongozi ni kupiga domo kama Tundu Lissu?Kwani kuchangia chama ni jukumu la kiongozi?
Huyu Mbowe kachoka, anadhani chama ni familia yake?
Nadhani hujamsikiliza vizuri. Punguza mihemko usikilize tena utaelewa amesema niniView attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba unijubu maswali haya,
1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?
2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?
3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?
4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?
5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?
6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?
7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?
Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!
Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!
Hii TZS250M ni rushwa toka CCM
Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA
hakuna anaebisha kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kua mwenyekiti wa Chadema mitandaoni,Machawa mnatetea ugali wenu.
Awamu hii mbowe atabaki na nyie machawa tu. Chama lazima kipate mawazo mapya na mbadala.
View attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba unijubu maswali haya,
1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?
2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?
3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?
4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?
5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?
6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?
7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?
Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!
Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!
Hii TZS250M ni rushwa toka CCM
Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA
Wewe kibaraka wa mwabwenye upo😆,a k a gentlemanchama kinaendeshwa kwa mkopo zaidi ya miaka 8 sasa, wewe unakataa na eti unaumia mzalendo kuchangia huto tupesa tudogo tu unaweweseka 🤣
kama huna pesa na huchangii chochote, unababaika nini kwa walio na pesa na wanaojitolea kuchangia chama?
Chadema inahitaji mtu makini anaejitegemea kiuchumi na anaejitolea kama Freeman Aikaeli Mbowe,
Sasa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi atachangia nini au atasaidia nini chadema? mdomo na makelele au?🐒
Mpaka ute ute mweupe unamtoka halafu anataka apewe uongozi mkuu.... huyu jamaa sidhani kama alistahili heshima tuliyompa!!Chama hakina Lisu kachangia Shilingi ngapi mkutano mkuu?
Anachangia tu.kupiga domo?
Huyu Lissu atauza chama chetu ubelgiji... apeleke tumbo lake huko.chama kinaendeshwa kwa mkopo zaidi ya miaka 8 sasa, wewe unakataa na eti unaumia mzalendo kuchangia huto tupesa tudogo tu unaweweseka 🤣
kama huna pesa na huchangii chochote, unababaika nini kwa walio na pesa na wanaojitolea kuchangia chama?
Chadema inahitaji mtu makini anaejitegemea kiuchumi na anaejitolea kama Freeman Aikaeli Mbowe,
Sasa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi atachangia nini au atasaidia nini chadema? mdomo na makelele au?🐒
Watasema anaropokaWenje anadai Lissu alimtuhumu Mbowe kununua magari kwa kupewa hela na CCM na tuhuma hizo alizifikisha kwenye kamati kuu ya Chama.
Anadai Mbowe alikuja kukanusha hayo madai kupitia ushahidi.
Lakini Wenje hapo yupo huru kuongea yale yaliyokuwa chini ya kamati kuu, bila shida yeyote. Lakini siku Lissu akiongea utasikia hana busara anatoa siri za Chama hadharani.
ACHA UJINGA Kasome waraka wa chacha wangwe wa mwaka 2005 ndo ujue haya mambo hayajaanza leoTatiZo mlilonalo ninyi mashabiki wa lissu nikwamba mmelishwa tangoopri na lissu kwahiyo mmekuwa vipofu atamkiambiwa ukweli amtaki kuamini ukweli mmebaki naushabiki ambao hautawasaidia Wala lissu aitamsaidia
MkuuView attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba unijubu maswali haya,
1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?
2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?
3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?
4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?
5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?
6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?
7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?
Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!
Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!
Hii TZS250M ni rushwa toka CCM
Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lazima apishe akili mpya za kutafuta pesa.
Na nyumbu wa Sultan Mbowe pia mumelishwa matango poriTatiZo mlilonalo ninyi mashabiki wa lissu nikwamba mmelishwa tangoopri na lissu kwahiyo mmekuwa vipofu atamkiambiwa ukweli amtaki kuamini ukweli mmebaki naushabiki ambao hautawasaidia Wala lissu aitamsaidia
Mkuu ScarsWenje anadai Lissu alimtuhumu Mbowe kununua magari kwa kupewa hela na CCM na tuhuma hizo alizifikisha kwenye kamati kuu ya Chama.
Anadai Mbowe alikuja kukanusha hayo madai kupitia ushahidi.
Lakini Wenje hapo yupo huru kuongea yale yaliyokuwa chini ya kamati kuu, bila shida yeyote. Lakini siku Lissu akiongea utasikia hana busara anatoa siri za Chama hadharani.
Chacha Wangwe alimwambia aonyeshe wapi na wapi alikikopesha chama na kwa kufuata utaribu upi!tangu lini mbowe akachangia chama..tunaambiwa humu mbowe kuwa anakikopesha chama mfano million 300 alafu anakuja kulipwa kwa riba na kwa vile yeye ndio kashika hatamu anaweza kuchelewesha chama kulipa deni ili riba iongezeke kidogo apate faida kubwa zaidi.!