Mbowe hata akishinda kwa halali chama kitakuwa kama NCCR-Mageuzi tu, Lissu katuonesha uozo mwingi sana katika vyama tulivyoviita vya Upinzani!Endapo Mbowe atampora ushindi Lisu kwa njia haramu lazima chadema itadhoofika sana na kuwa kama vyama Dhoofu vya akina cheyo na wenzao
Lisu atashinda lakini mbowe atapora ushindi wa Lisu kupitia uchakachuaji na wizi wa kuraKabisa, Chances za Lissu Kushinda ni ndogo sana!
Ni kweli kwani Mbowe anaendesha chama kama duka lake saccos binafsi idara yote ya pesa yupo peke yake anaiba pesa za chama kisha kuzitakatisha kwa kujidai eti alikopesha chamaMbowe hata akishinda kwa halali chama kitakuwa kama NCCR-Mageuzi tu, Lissu katuonesha uozo mwingi sana katika vyama tulivyoviita vya Upinzani!
Mpaka tufike Jan 21 mengi yatakuwa hadharani!Ni kweli kwani Mbowe anaendesha chama kama duka lake saccos binafsi idara yote ya pesa yupo peke yake anaiba pesa za chama kisha kuzitakatisha kwa kujidai eti alikopesha chama
CHADEMA kwa sasa ni Mali ya Wananchi sio Wanachama tena!Lisu atashinda lakini mbowe atapora ushindi wa Lisu kupitia uchakachuaji na wizi wa kura
Akili zao wamemkabidhi lissu.Wao vichwa vyao havishughuliki kabisa.Lissu kwao amekua ndio Si unit ya ukweli.sasa hao ni watu au ni midoli.Yaan full mihemko.TatiZo mlilonalo ninyi mashabiki wa lissu nikwamba mmelishwa tangoopri na lissu kwahiyo mmekuwa vipofu atamkiambiwa ukweli amtaki kuamini ukweli mmebaki naushabiki ambao hautawasaidia Wala lissu aitamsaidia
Mbowe yupo uchi madudu yake kwa asilimia kubwa yapo wazi hata akiiba kura akawa mwenyekiti haramu hataheshimika tena kama awaliMpaka tufike Jan 21 mengi yatakuwa hadharani!
Leta ushahidi.acha kuandika porozo zinazotokana na hisia zako.ata minyoo haiko hivyo.Dalali wenje njaa kali mrafi
Mbowe mchoyo ubinafsi na Dikteta
Sasa hawa wawili wakipewa chama si watauana huko mbeleni maana wote ni watu wabinafsi, kila mmoja atataka kujinufaisha ndipo utatokea ugonvi mkubwa na chadema kufa kama NCCR TLP UDP DP CCK na CUF ya lipumba
Aliyekuambia wewe una Akili ni nani? Kuwa chawa wa Dikteta Mbowe na Dalali njaa Wenje ndiyo Kuwa na Akili? Wewe mbona Akili zako umemkabidhi Dalali njaa Wenje? Kichwa chako hakishughuliki upo unawaangalia njaa zako pekee na kujita fahamu kuwaona Mbowe na wenje ni malaika na mungu hawana DhambiAkili zao wamemkabidhi lissu.Wao vichwa vyao havishughuliki kabisa.Lissu kwao amekua ndio Si unit ya ukweli.sasa hao ni watu au ni midoli.Yaan full mihemko.
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha wapumbavu kama nyie huwa ni kuisengenya ID ya Jf, ushahidi uletewe wapi wewe punguani? Uletewe hapo ghetto unaposhinda ukivuta bangi?Leta ushahidi.acha kuandika porozo zinazotokana na hisia zako.ata minyoo haiko hivyo.
View attachment 3189332
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba unijubu maswali haya,
1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe katoa pesa zake?
2. Je, mikutano mikuu yote ya matawi zaidi 16,602 ni Mbowe ametoa pesa zake?
3. Je, mikutano mikuu yote ya kata zaidi ya 3,956 ni Mbowe katoa Pesa zake?
4. Je, mikutano mikuu ya majimbo yote 264 katoa pesa Mbowe?
5. Je, mikutano mikuu ya Mikoa yote 31 ni Mbowe katoa Pesa zake?
6. Je, mikutano mikuu yote 10 ya Kanda za Chama ni Mbowe katoa Pesa zake?
7. Sasa Wenje, kama hawa wanachama waliogharamia mikutano mikuu yao yote tangu misingi mpaka Kanda wanashindwaje kujigharamia kwenye mkutano Mkuu wao huu maalum mmoja tu wa Taifa?
Mwisho, Mkutano Mkuu wa mwaka 2019 Mbowe aliichangia kiasi gani mbona hujasema??!!
Mbowe kwanini hakuchangia 2019 achangie 2024?!!
Hii TZS250M ni rushwa toka CCM
Hakuna namna Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lazima apishe akili mpya za kutafuta pesa sio kuchangisha wajumbe wa Kamati Kuu kwani hilo sio jukumu la mjumbe wa Kamati Kuu.
Ila Lissu Akijibu Mnasema Kakichafua Chama siyo?Wenje amelazimika kujibu na hajakichafua chama bali ameprove kuwa Lissu alizungumza uzushi kama asingejibu chana kingechafuka zaidi walau kajibu amesaidia kukisafisha chama
Michango ya nini atae? Pesa za chama zipo Mbowe kujimilikisha kienyeji, hakuna kutoa michango mpaka Mbowe atoe pesa za chama anazokula mwenyewe kifisadi kisha kutakatisha kwa kujidai alikopesha chamaMwambie TAl atoe mchango acha ngonjera hapa
Wajumbe wanahitaji kusafiri kula na kulala
Sio kila hoja lazima upitishe domo lako, utakuja kubatuliwa uone watu wabaya.Chama hakina Lisu kachangia Shilingi ngapi mkutano mkuu?
Anachangia tu.kupiga domo?
Chochoko walianza wao kwa wenje kwenda nyumbani kwa Lisu kumchokoza, sasa lisu akilalamika wanadai anaropoka mara ni muongo, sasa aliyemtuma wenje kwenda kwa Lisu nani? Mbona Lisu hajaenda kwa wenje?Ila Lissu Akijibu Mnasema Kakichafua Chama siyo?
Kabla hajauza chama, tutamuomba atuuzie tako lako.Huyu Lissu atauza chama chetu ubelgiji... apeleke tumbo lake huko.
Hiyo ni aggregation.Unatumia nguvu sana mkuu,
Mikutano 64,000 inaweza kugharimu kiasi gani Cha pesa?
Tumia akili kidogo.