DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Angekua mkubwa sana lakini Makubwa hapana. Alafu wanaolizwa hawajalalamika kokote tutajuaje kama sio wivu wako tu.
 
Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila anatapeli watu wengi kwa jina Hilo.

Hiyo kesi tulipeleka kwa RCO wa Mkoa na hata Kuna wapelelezi tumewatumia na kuwapa ushahidi wote ila wakifika kwa Jenerali Mwamwega wanakimbia, Sasa hatujui huyo jamaa ana nguvu kiasi gani mpaka watu wanakimbia.

Hata hapa JF Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu ila wameitupilia mbali. Huyu jamaa anaoneka ameikamata system yote. Hiyo milioni mia mbili aliyotapeli inaonekana kagawa kwa watu wengi.

Ila Kama mpelelezi nitapambana mpaka mhanga wa huu utapeli apate haki yake.
 
Nguvu ya fedha. Polisi ya Bongo mbele ya fedha ni kama siagi kwenye kisu cha moto.
 
Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila anatapeli watu wengi kwa jina Hilo.

Hiyo kesi tulipeleka kwa RCO wa Mkoa na hata Kuna wapelelezi tumewatumia na kuwapa ushahidi wote ila wakifika kwa Jenerali Mwamwega wanakimbia, Sasa hatujui huyo jamaa ana nguvu kiasi gani mpaka watu wanakimbia.

Hata hapa JF Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu ila wameitupilia mbali. Huyu jamaa anaoneka ameikamata system yote. Hiyo milioni mia mbili aliyotapeli inaonekana kagawa kwa watu wengi.

Ila Kama mpelelezi nitapambana mpaka mhanga wa huu utapeli apate haki yake.
Wewe ni polisi?
 
Huyo Jenerali Mwamega amemtapeli nani, wapi, na ushahidi wako ni upi?

Umeandika kama vile wote tunamfahamu huyo Jenarali na utapeli anaofanya.
Hii taarifa nishaileta hapa wiki mbili ilizopita , hii ni feedback natoa. Itafute ipo humu.
 
Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila anatapeli watu wengi kwa jina Hilo.

Hiyo kesi tulipeleka kwa RCO wa Mkoa na hata Kuna wapelelezi tumewatumia na kuwapa ushahidi wote ila wakifika kwa Jenerali Mwamwega wanakimbia, Sasa hatujui huyo jamaa ana nguvu kiasi gani mpaka watu wanakimbia.

Hata hapa JF Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu ila wameitupilia mbali. Huyu jamaa anaoneka ameikamata system yote. Hiyo milioni mia mbili aliyotapeli inaonekana kagawa kwa watu wengi.

Ila Kama mpelelezi nitapambana mpaka mhanga wa huu utapeli apate haki yake.
Acha kulialia njoo wewe unikamate.......
Pesa za wapuuzi Mimi kazi yangu ni kuzipiga tuu.
Hakuna namna!
 
Hivi mutu unatapeliwaje M200?? Una mpa mtu mkononi au unaziweka benki ??
Yani ni shida. Walimuanzia mbali Sana. Halafu huyo Jenerali Mwamwega anatumia kampuni ya one 2 one focus company kupata wahanga wake. Ukiomba ujengewe nyumba na hiyo kampuni lazima ulie.
 
Acha kulialia njoo wewe unikamate.......
Pesa za wapuuzi Mimi kazi yangu ni kuzipiga tuu.
Hakuna namna!
Punguza utani kwenye serious issues. System ilivyooza ndio inakupa kiburi. Mimi siku kamati polisi ndio wakukukamata. Sasa polisi wanakuogopa Sana.
 
Angekua mkubwa sana lakini Makubwa hapana. Alafu wanaolizwa hawajalalamika kokote tutajuaje kama sio wivu wako tu.
Kama kitu hakikuhusu Wala hukijui usipende ujuaji. Ni ushauri tu. Ulitaka waje walamike chumbani kwako?. Punguza dharau kwa mambo usiyoyajua.
 
Back
Top Bottom