Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu ya fedha. Polisi ya Bongo mbele ya fedha ni kama siagi kwenye kisu cha moto.Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila anatapeli watu wengi kwa jina Hilo.
Hiyo kesi tulipeleka kwa RCO wa Mkoa na hata Kuna wapelelezi tumewatumia na kuwapa ushahidi wote ila wakifika kwa Jenerali Mwamwega wanakimbia, Sasa hatujui huyo jamaa ana nguvu kiasi gani mpaka watu wanakimbia.
Hata hapa JF Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu ila wameitupilia mbali. Huyu jamaa anaoneka ameikamata system yote. Hiyo milioni mia mbili aliyotapeli inaonekana kagawa kwa watu wengi.
Ila Kama mpelelezi nitapambana mpaka mhanga wa huu utapeli apate haki yake.
Wewe ni polisi?Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila anatapeli watu wengi kwa jina Hilo.
Hiyo kesi tulipeleka kwa RCO wa Mkoa na hata Kuna wapelelezi tumewatumia na kuwapa ushahidi wote ila wakifika kwa Jenerali Mwamwega wanakimbia, Sasa hatujui huyo jamaa ana nguvu kiasi gani mpaka watu wanakimbia.
Hata hapa JF Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu ila wameitupilia mbali. Huyu jamaa anaoneka ameikamata system yote. Hiyo milioni mia mbili aliyotapeli inaonekana kagawa kwa watu wengi.
Ila Kama mpelelezi nitapambana mpaka mhanga wa huu utapeli apate haki yake.
Hii taarifa nishaileta hapa wiki mbili ilizopita , hii ni feedback natoa. Itafute ipo humu.Huyo Jenerali Mwamega amemtapeli nani, wapi, na ushahidi wako ni upi?
Umeandika kama vile wote tunamfahamu huyo Jenarali na utapeli anaofanya.
Acha kulialia njoo wewe unikamate.......Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila anatapeli watu wengi kwa jina Hilo.
Hiyo kesi tulipeleka kwa RCO wa Mkoa na hata Kuna wapelelezi tumewatumia na kuwapa ushahidi wote ila wakifika kwa Jenerali Mwamwega wanakimbia, Sasa hatujui huyo jamaa ana nguvu kiasi gani mpaka watu wanakimbia.
Hata hapa JF Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu ila wameitupilia mbali. Huyu jamaa anaoneka ameikamata system yote. Hiyo milioni mia mbili aliyotapeli inaonekana kagawa kwa watu wengi.
Ila Kama mpelelezi nitapambana mpaka mhanga wa huu utapeli apate haki yake.
Yani ni shida. Walimuanzia mbali Sana. Halafu huyo Jenerali Mwamwega anatumia kampuni ya one 2 one focus company kupata wahanga wake. Ukiomba ujengewe nyumba na hiyo kampuni lazima ulie.Hivi mutu unatapeliwaje M200?? Una mpa mtu mkononi au unaziweka benki ??
Punguza utani kwenye serious issues. System ilivyooza ndio inakupa kiburi. Mimi siku kamati polisi ndio wakukukamata. Sasa polisi wanakuogopa Sana.Acha kulialia njoo wewe unikamate.......
Pesa za wapuuzi Mimi kazi yangu ni kuzipiga tuu.
Hakuna namna!
Kama kitu hakikuhusu Wala hukijui usipende ujuaji. Ni ushauri tu. Ulitaka waje walamike chumbani kwako?. Punguza dharau kwa mambo usiyoyajua.Angekua mkubwa sana lakini Makubwa hapana. Alafu wanaolizwa hawajalalamika kokote tutajuaje kama sio wivu wako tu.