IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

ZERO ni muhuni anayetumiwa na dikteta kufanya uhuni wao wa kung’ang’ania madarakani.

https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2019/02/1994639_Instagram_media_-_Bt2Krycj3b7.jpg

 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Lisu anaogopwa sana na CCM
 
Tulia dogo mengine yanamalizwa kisiasa

Usivyo na akili unasema ishu ya Lissu kwanini Mbowe hajakamatwa

Halafu unasahau unasema Lissu akikamatwa patachimbika

Hebu fungua akili kidogo mpuuzi wewe
 
Hawa jamaa wanasaidia ccm Ila ikumbuke INA mwisho wake Ila tutapambana nao na uchaguzi tutatembea na mawe mfukoni wakizingua tu unampiga moja LA kichwa kisha unauchuna mbona watajirekebisha bila hivi watatuonea sana
 
Ni hatua muhimu kuelekea kuhitimisha jambo hili.
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Atarudi 2026
Au hivyo vyeo mlizaliwa navyo?
 
Kwa hyo majambazi wakikufwata wewe nyumbani kwako wakakupga risasi..ni lazma na hausboy wako apgwe risasi?na kama hakupgwa maana yake utakua umejivamia na kujipga mwenyewe?akili za wapi hizi?
Mkuu lile shambulio lina utata hujiulizi kwanini dereva wake hakushambuliwa?

Na kwanini dereva wamemficha?
Na kwanini dereva alimpeleka lissu kushambuliwa?
 
Mbowe dereva wake alikabwa kwa ajili ya kuhojiwa akajifanya bubu akachangamshwa hadi akaongea ukweli
 
Tunahofu Inawezekana dereva walikula njama na wapinzani wa lissu kwenye chama au biashara zake
Kwa hyo majambazi wakikufwata wewe nyumbani kwako wakakupga risasi..ni lazma na hausboy wako apgwe risasi?na kama hakupgwa maana yake utakua umejivamia na kujipga mwenyewe?akili za wapi hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…