Siro alikuwa mzuri zamani kabla ajakaliwa kichwani na ccm
 
Wafuasi wa Mbowe ndio wanakesha kuwanga usiku na mchana eti IGP Sirro ajiuzulu. Nawaambia wafuasi wa Mbowe/ CHADEMA mtasumbuka sana, na mjue kuwa mboe sio malaika.
Kwani aliyeuwawa na maafisa wa polisi huko Mtwara ni mfuasi wa Chadema.
Uwage na akili basi!
 
NAUNGA MKONO HOJA.
Nina uhakika Mh Rais anakuja kubadilisha IGP ASAP.
 
Tupaze Sauti sasa IGP aondolewe, na ikiwezekana MA RPC wote waondolewe na kuwekwa wengine.
 
Sio kweli, kipindi Cha saidi mwema 2006-2013 kulikua na matukio ya kutisha sana
Unafiki huu, ni kutokana na dini yake. Binafsi hakuna wakati mzuri kama wa SAID MWEMA.
 
Askari walioua raia mwema kwa sumu na kisha kuchukua pesa zake kumbe ni wafuasi wa Mbowe? Huyu jamaa hafai kabisa. Kwa nn IGP Sirro asimuongezee hii kesi?
Wafuasi wa Mbowe ndio wanakesha kuwanga usiku na mchana eti IGP Sirro ajiuzulu. Nawaambia wafuasi wa Mbowe/ CHADEMA mtasumbuka sana, na mjue kuwa mboe sio malaika.
 
Tza IGP alikuwa Said Mwema na angalau Mangu kidogo hawa walifanya reformation kubwa
Sio kweli, ni kwa sababu umesahau tu. Hakuna utofauti wa sirro, mwema Wala mangu
 
Said Mwema kwa mtazamo wangu ndio IGP bora kuliko wengine.

Uhusiano kati ya Jeshi la Polisi na Wananchi ulikua mzuri.
Hili hata ukiwailize Polisi wenyewe mitaani wanasema Wazi IGP Bora kwao ni Said Mwema japo walikuwa na matarajio Makubwa Kwa Sirro wakati anaingia madarakani lakini wameambulia patupu. Wanasema hiki ndo kipindi haki zào zimesiginwa kuliko kipindi chochote Tangu Uhuru.
 
Kwa nini huwa unakimbilia mambo ya dini? Nikuletee nyuzi za kipindi hicho?
Lete nyuzi hapa, au unadhani nyakati hizo sikuwa hapa JF?? Usichachawe na ID hizi mpya mkuu.
Pamoja na matukio lkn SAIDI MWEMA na SIRRO wameachana mbali sana.
 
Kwa haya yanayojiri hata Hamza naye akigashibika baada ya Askari kumuona boya hajui pesa
 
Lete nyuzi hapa, au unadhani nyakati hizo sikuwa hapa JF?? Usichachawe na ID hizi mpya mkuu.
Pamoja na matukio lkn SAIDI MWEMA na SIRRO wameachana mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…