BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Na vizazi viataamini ni kweli. Watoto wa siku wanapenda kufind out ukweli wa mambo🤣🤣Kauli hiyo ina ubaya gani?
Mnaifanya ionekane TL ni msaliti ?
Au mnatumia nini ku connect dots
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
PoleAlikufa katika umri ambao wataalam tunaita 'late age" so hatukupoteza kitu .
Jiwe liliishi umri mzuri na lilionesha tofauti ya uswahili na u-mkoani[emoji1787][emoji1787]
Nafasi aliyoishika kuna watu kizazi chake na kizazi kamwe hawatoishika wataishia tu kuwa na vijikadi vya chama na kutumika kama karatasi.
Rest in peace , John Pombe Magufuli
Tozo lazima zilipwe na tozo ziko specific kwa maendeleo ya Vijijini anaepinga ni mhujumu uchumi na msaliti..Dawa yako ni tozo tu,mpaka pumbu zipauke,ccm sio ya kwako,wewe kwao ni pawn tu,umeona nafasi za ubunge wa EA,zimeenda wapi!?watoto wa vigogo!!ambao walipomaliza vyuo tu,wakiwa kwenye 24yrs tu,wakapewa nafasi ubalozini,wewe unatembeza bahaha ya kaki
Wewe nawe mpuuzi tu kila mwenye akili timamu hapa jukwaani anakupuuza,chawa wewe[emoji38][emoji38] Na hiki ndicho kinamtesa SSH,amewaachia wanaropoka kila tumbili anaropoka..
Mtu anaenda kwenye tv Kujifanya eti anamsemea mnyonge wakati hana hata msaada Kwa huyo mnyonge..
Unaanza kupinga maendeleo anapinga tozo as if tozo zinaenda kufanya mambo binafsi ya familia..
Watu wa hivi ni ku deal nao Ili Kazi ifanyike vinginevyo utaishia kuyumbishwa kila siku..
Angenipuuza Wala usinge koti comment yangu.Wewe nawe mpuuzi tu kila mwenye akili timamu hapa jukwaani anakupuuza,chawa wewe
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbona na lenyewe halipoBaada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli at aonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
ThibitishaJitu linaokwa kama ndafu huko kuzimu kudadadeq
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Peleka ujinga wako huko unaongea utafikiri dunia yakwako. Mfanye ujinga wenyewe mumsingizie Lissu. Yule mzee alishindwa kuongoza nchi ndo maana akaibuka na hizo kauli za tuko vitani huku akiwachukia wale werevu waliokua wanasema ukweli.wamgenijumuisha Mimi wakati wanaenda kumlambisha Shaba nisingekosea.
tuko vitani lisariti linajitia ujuaji wa kuijiona Lina akili sana piga Shaba ya pumbu au kichwa huko.
na ndo maana linaogopa kurudi linajua dhambi lililozifanya.
idiot
Wajinga kama wewe lazima tuwakemee na maujinga yenuAngenipuuza Wala usinge koti comment yangu.
Nimepiga kwenye utosi na huo ndio ukweli..
Mnadekezwa harafu mnapata airtime ya kupinga maendeleo na kufanya upotoshaji..
Dawa yenu alikuwa Mwendazake,sasa huyu wa Sasa akiendelea kucheka na ngedere atavuna mabua..Unapinga maendeleo wewe kama nani?
Mwigulu awe Rais baada ya SSH Ili awanyooshe.
Huyu hajui kama CCM wametoa tamko la tozo kutazamwa upyaUnaanza kupinga maendeleo anapinga tozo as if tozo zinaenda kufanya mambo binafsi ya familia..
Wachawi akina Mbowe na genge lake la mabeberu walitumia huu mwanya kutaka kuichonganisha serikali na wananchi. Hakika lisu ataendelea kuwa msaliti
samahani mkuu huyo nebukadneza ndie nani ndugu yanguHalafu kuna wale watetezi wa DIKTETA wanakuambia eti Magufuli anachafuliwa? Unamchafuaje mwehu kama huyu anayetangaza kwenye mkutano wa hadhara kuwa "msaliti" huuawa na few hours jaribio la kumuua Lissu linafanyika.
Isitoshe kusema ukimpangia kumdhuru mtu mwema kama Lissu, Shetani anakuingia anakuacha uropoke kama alivyoropoka Magufuli ili tupate ushahidi. Mungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini. Wakati huo Magufuli alikuwa kimya kwenye Kambi ya CCM ambapo Lissu na upinzania walikuwa wanapambana na Serikali bungeni hadi kutoka nje ya Bunge kukataa kuwa rubber stamp ya Sheria mbaya za madini.
Mungu asingeruhusu dhuluma kama hii itokee kwa Lissu hivyo, Magufuli akashindwa kumuua na hatimaye akafa yeye Machi 17, 2021.
Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe Mungu
Human life is placed at very high value, , and can not in any way traded with anything else.Baada hata ya miaka 1000, hii clip itaonyesha kwamba msaliti wa taifa anapaswa kuuawa! Na Magufuli at aonekana ni kiongozi bora sana aliyetimiza hilo la kudeal na wasaliti wa taifa.
Kama Magufuli aliweza kumshambulia Lissu katika kipindi hicho bila kuhofia kujulikana kwamba atakuwa ni yeye sasa ni sababu ipi iliyofanya asimmalizie baada ya kujulikana Lissu hakufa ni kwamba aliogopa nini ambacho hakikiogopa mwanzo?
Halafu inasemekana walipofika MOROGORO walilichoma moto gari walilotumia wakati wa kumshambulia LissuIlikuwa tarehe 7 /09/2017 na kwa mara ya kwanza Makonda hakuwepo hapo alionekana jioni Morogoro akirudi Dar
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mo