IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

hahhhahaa Behaviourist umeua mkuu nakuaminia kiboko ya MATAGA humu jamvini hahhahaa nikiona post zako na za mwamba #Brazaj hua naenjoy Sana!
Vipi Leo hakuna kibonzo Cha kisindikizia Kwa Hawa wapuuzi wanaodhani nchi inaendeshwa Kwa matamko?
😁😁😁😁
 
Wewe mtie moyo tu
 
Mleta mada acha ujinga!mama kaona mavi yamegonga chupi ndio akatoa tangazo!!!usifikiri mamayo analala usingizi usiku kwa Blunder la Mbowe linavowatesa!!!
Angalia aina za watu kama huyu ndo waje wapewe nchi si matatizo hana hata haiba na diction of words....pitiful
 
Wewe unastahili kupotea kabisa jombaa, futa hii
Ambae anapaswa kupotea kabisa ni huyu Rais alietokana na mapolisi badala ya kutokana na wananchi.Ni Rais wa aibu kwa sababu hana kibali cha wananchi.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…