IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kama mnajua hvo kwa nn mlikuwa hamfanyi wakati mzee magu yupo?
Cdm bana
 
KWAHIYO ANASITAHILI KUTUKANWAA??
Ametukanwa wapi?Wewe ukiwa kichaa kisha ukatokea mahali watu wakasema yule kichaa anakuja,hao watu watakuwa wanakutukana?

Tunamwita ni mbumbumbu kutokana na matendo yake pamoja na maneno yake.Unataka tumwite kuwa ni mwerevu wakati anafanya mambo ya umbumbumbu
Kama mnajua hvo kwa nn mlikuwa hamfanyi wakati mzee magu yupo?
Cdm bana
Hatufanyi kitu gani?
 
Wewe ndio wale mbwa unamlisha alafu anakung'ata
 
Unamtuka etii fool?? Acha ujinga bwanaa. Heshim utu wa mtu. Jenga hoja siokumtukana kiongozi mkubwa kama huyuu
 
Unamtuka etii fool?? Acha ujinga bwanaa. Heshim utu wa mtu. Jenga hoja siokumtukana kiongozi mkubwa kama huyuu
Ukiangalia neno fool kwenye kamusi ni mjinga.Mjinga ni mtu ambae hajui kitu fulani na akielimishwa ujinga wake unaisha.

Huyu Rais anadai kuwa anataka amsamehe Mbowe wakati katiba yetu haimpi Rais mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa ambae kesi yake bado inaendelea mahakamani.

Huyu Rais ni mjinga kwa sababu hajui hilo.Huenda akielimishwa ujinga wake utaisha na atakuwa mtu mwerevu kama wewe.
 
KAZIIENDELEE
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Umerukwa na akili ?
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Hivi hii mikutano ni hisani au ni hitaji la kikatiba?
Kwanini sasa inaonekana ni hisani kutoka ikulu wakati katiba inasema hivyo?
Kuna watu sasa wanaona wao ndio Tz na Tz ni ya kwao, hapana tupinge hili kwa nguvu zote
 
Kaziiendelee Tanzania na Samia ni safe Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…