Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Huku TBC wapo BIZE na KAPU LA TBC mbaya zaidi ni bipindi vya kurecord i mean wameweka FLASH DISC hofu imetanda zaidi hebu tuambiane ukweli tu
 
Unafikiri walioshikwa na hofu nibwazushi tu. Romours jama hizi zina atgari kubwa hata kiuchumi. Unajua excgange spot rate kwenye biasgara za kimataifa ilivyoathirika na hizin romours? Huu ni uhujumu uchumi kwa ikulu na kurugenzi kukaa kimya
Ktk huo uzushi kulikuwa na uthibitisho..? Mtu makini hutafuta habari makini na hayumbi kama mlevi,hakukuwa na haja ya kujisumbua ikulu kuanza kujibu upuuzi usiokuwa na uthibitisho.
 
Haingii akilini mtu ametoka kwenye ugonjwa alafu secretary ya uraisi imruhusu kuendelea na tabia yake ya TUMBUA TEUA ETI KUAPISHA
 
Lakini upinzani hua wananishangaza sana.. Mwenzio unamuombea vipi kifo.
Mkuu kuna mtu alidai eti yule mbunge aliyepigwa risasi dodoma mchana kweupe ambaye ni karibia miaka miwili sasa yupo kitandani anapigania uhai wake eti ametelekeza jimbo....vipi huyo hakukushangaza????
 
Umesema unamuombea vipi mwenzako kifo, nimekuambia adui yako hata ukipata nafasi unamtoa uhai kabisa. Nimekupa mfano wa Lissu maadui zake hata kumuombea kifo waliona wanachelewa wakaamua kumtoa roho kabisa, Mungu akaingilia kati.
Hao waliotaka kumtoa roho wanahusiana vipi na Rais..
 
Hii taarifa ni njema sana kwetu wapenda maendeleo na wazarendo ila wale waliokua wakisubilia taarifa ya kifo asaiv matumbo yanawauma wanatamani kusikia kifo cha binadamu mwenzao wakiamini ndio mwanzo wa mafanikio yao., Nawapa pole sana # CHUMA bado kipo sana
 
Najaribu kuwaza. Hivi Makamu Wa Rais awezi kuapisha kwa niaba ya Rais ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…