Unajichanganya, soma ulichaondika. mungu wenu hajawasikiliza kaombeni tena nyinyi watu wasafi kuliko wote dunia hiiKwa taarifa yako hamna mwenye hiyo roho chafu ya mauaji, otherwise watu wangeshaingia msutuni muda mrefu, ndio maana watu wanatumia hii hali kuonyesha hisia zako kwamba hawatendewi haki. Ingekuwa huko Somalia huu upuuzi watu wangedeal nao vyema.
Mkuu;Kwema humu ukumbini
Yule ni mshenzi wa kwanza humu ndani, hata hiyo platinum member sijui alipewa vipi.Sikuwahi kufikiria kama Mshana JR ni Mpumbavu kiasi hiki. Huyu Sky Eclat niseseme kitu, she is so disparate, huenda ndoa yake iko hoi na anaamini aliyesababisha na Rais!
Waliotumia nguvu kuanza uongo washughulikiweYule ni mshenzi wa kwanza humu ndani, hata hiyo platinum member sijui alipewa vipi.
Wote hawa dawa yao ipo jikoni.
mbn hyo event tbc awaonyesha ?
Tuombe uzimaWaliotumia nguvu kuanza uongo washughulikiwe
Madman sees what he se..Hawahusiani lolote na rais, bali nimekupa mifano tu ya watu wenye nia mbaya, maana ww umeonyesha kushangaa watu kuombea wengine kifo. Nikakuambia hilo la kuombea kifo ni jambo dogo. Una lingine?
Alesata ndiyo ila atenancha.Angu uyo ulimona.
Kwakweli, mbona wamepotea ghafla warudi watwambie karudi lini toka Germany?Mungu sio Mwanadamu.
YouTube bila TBC??!!!!