Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Sem2708
We uko nchi gani ndugu yangu, Rais anaapisha wateule wake na iko live watu wanashuhudia..
 
Mi nilisha wambia acheni uzushi wenu angalia sasa mnaumbuka mtaficha wapi sura zenu na master mind wao kigogo Leo sijui atapost mini mjinga yule
Kuumwa anaumwa kweli siyo uzushi sasa wafiche sura zipi? Kigogo hajulikani na anayempa taarifa hajulikani sasa wataficha sura kivipi?
 
Kweli sisi majinga tusamehe jk alisema maneno ya kuambiwa ----- daah kigogo katufanya vibaya mbwa huyu
 
Watu wa hovyo sana hawa,ajabu ni kwamba wapo wanaoheshimika na kuaminika kabisa. Nitawashangaa sana watu wakiendelea kuwaamini.

Inawezekana huyu mzee wamekuwa wakimtungia tuhuma za uongo tu ambazo hata hazipo.

​

Mzee anaumwa kweli si umeona kaongea kwa unyonge kiupole sana tofauti na kawaida yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…