Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila


Mimi sikubaliani na Lissu kwenye mengi tu.

Lakini kamwe sikuwahi kumwombea mabaya kama yale yaliyomkuta.

It’s never personal.
 
Rais kaforce,hapa naomba Mungu asije anguka mbele za watu. Maadui wakapata credits. Natamani asiende kwenye hii press.
Mwanaume mzima akisimama tu, kutembea sio shida. Ukiona mwanaume aliekulia vijijin anashindwa kutembea baada ya kusimama ujue kwisha habari yake. Mimi naamin waliamua kumrudisha Dar baada ya kuona uchovu umemzidia kwa wakaamua kukatiza kila kitu na kumrudisha Dar ili apumzike apate nguvu. Amezunguka sana tena sehem kubwa kwa rough road.

Haumwi. Ni mzima waafya. Kile ni chuma. Ni jiwe lile.
 
Hajitambui na hajui wajibu wake na jinsi ya kubehave. He is still very immature politically ndio maana bado anaendeshwa na hisia, chuki , umbea na uzushi.Kuna viongozi makini wa upinzani wamekaa kimya wakiangalia hali inavyoenda wala hawajarukia matango pori.
 
NAJIULIZA TU ATAENDA WAPI KUTIBIWA?

ULAYA ANAWAITA MABEBERU.

SOUTH ANA KINYONGO NA BOMBARDIER KUKAMATWA.

LABDA INDIA? AU CHINA

MNH HAKUNA MADAKTARI WALITUMBULIWA WOTE, VYETI HEWA
 
Jana ilitoka taarifa kuwa raisi kafanya uteuzi, ila kwa ujinga wenu mkaanza kusema ni fake!
Tafadhali naomba ukinukuu ujumbe wangu humu jukwaani,jibu au sema kutokana na kile nilichosema mimi. Hapa jukwaani nipo mimi kama mimi na usijaribu kuweka wingi na ukaniingiza kwenye wingi huo.

Jitahidi sana kunitofautisha mimi na watu wa aina yako ambao mnaamini katika wingi wingi wenu huo mliowekwa huko na kushikiwa akili na wanasiasa wenu. Mimi sio mmoja kati yenu.
​
 
Na chuki nayo vivyo hivyo....
Ndo mjue jinsi gani yule mzee Lowassa alivykuwa anaumia kipindi kile cha kampeni, mlimuongelea kila neno la kashfa, siasa hizi za chuki na kashfa mlizianza nyie..

Katika yote napingana sana na wanaoombea wenzao mabaya kisa wanatofautiana katika maeneo fulani
 
Sikuwahi kufikiria kama Mshana JR ni Mpumbavu kiasi hiki. Huyu Sky Eclat niseseme kitu, she is so disparate, huenda ndoa yake iko hoi na anaamini aliyesababisha na Rais!
Huyo Mimi binafsi nilimtoa maana siku nyingi mwanzo nilikua namuheshimu sana na thread zake zote ilikua lazima nizipitie. Lakini kuna siku aliandika kitu cha kipuuzi sana nikaona kumbe ndio wale wale.
 
Hahah, natamani maneno haya ukamwambie Tundu Lissu
 
Hapana mkuu hakuna editing pale ilikua mubashara kabisa. Kwani kutoka Dar to Z'bar kwa ndege inachukua masaa mangapi kiongozi? Siyo hoja kwama Makamu yupo Zanzibar sasa hivi au alikua huko asubuhi, its practically possible
 
Na aliefurahia huyu kupigwa risasi
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Kwenye Majukumu Yake Ya Kila Siku
 
Wewe ndio bure kabisa.

1. Ile video yenye moshi niya kweli ila haikuwa na madhara yoyote.

2. Kuhusu kuumwa ni kweli , alipata mshtuko kidogo wa tatizo lake la moyo japo kusema alipelekwa south au ujerumani ni uongo.


3. Kuhusu kufa ni uongo mkubwa..


Binafsi nomejifunza mengi kuhusu hizi siku tatu


1. Mheahimiwa anahitaji ulinzi wa hali ya juu sana maana karibia 1/3 ya wana mitandao wameonyesha rangi zao kamili kwamba wangefurahi sana kama angekufa.


2. Muhusika mwenyewe kama atapata nafasi ya kuona kilicho endelea mitandaoni basi ajitahimini na kubadili gia.


Awamu ya 5 imetugawa sana watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…