Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Kwanini hukujitokeza kukanusha na kukashifu tangu jana?
Kimsingi hata viongozi wengi waandamizi walikuwa gizani kabla ya taarifa ya uapisho!

Yote kwa yote, ujumbe na hali halisi imeonekana!
 
Tunamshukuru Mungu Rais wetu ni mzima. Habari za hivi ni vizuri zikakanushwa mapema. Zimetesa watu wengi sana. Raisi wa nchi ni mtu wa kuombewa mema maana anayoyafanya ni yetu wote.
 
ulifurahia wewe na timu yako, acha uzushi hapa, sijui saa izi utakuwa unajisikiaje?
Weka post yangu moja tu ya kufurahia.

Mimi nimeona watu wa kutosha tu na mitaani pia nimesikia na kushangazwa. We endeleza upumbavu wako.
 
Mkuu wangu Mushi, nitajie taifa moja unalolifahamu lenye huo umoja unaoutaka.
Mkuu kwetu haya ni mageni kidogo. Sijawahi kuona kitu kama hii aisee. Marais wote waliopita haikuwa kiasi hiki.
 
Mkuu bila figisu Jiwe anaweza angukia pua.Alisoma alama za nyakati ndio akapiga stop wapinzani kufanya siasa.Jiwe na CCM yake hawana uhakika 100% kushinda kwenye ballot box.Mambo ni 50\50.Lakini hata km akijiweka ni bora kuliko life kuwa shortened!
 

Magufuli ana matatizo ya moyo kuanzia akiwa na miaka 30 alipokuwa waziri aliwekewa kifaa cha pacemaker kuhakikisha mapigo ya moyo yako sawa alifanyiwa hii German. Sasa ndiyo maana tunapendekeza sana kuwekwe mifumo maana huwezi kumtegemea mtu mmoja mwenye matatizo makubwa hivi ya afya. Technology itaongeza muda lakini moyo unachoka nao siku zinavyokwenda. Nashauri tu Magu aweke mifumo imara akimaliza miaka mingine mitano tutamshukuru Mungu lakini Mifumo ni muhimu
 
Mavi mutupu
 
Mkuu hii ni kweli au radio Mbao?
 
Sasa unanibishia mimi kitu nimesikia kabisa watu wakifurahia kuwa amekufa? Eti mitandaoni tu.
Mbona hata lissu alivypigwa kuna watanzania wengi huko vijijini walifurahi sana, walifanya party, wananchi wa pembezoni mwa migodi ya Barrick walipiga vigelegele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…