Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Mi nilisha wambia acheni uzushi wenu angalia sasa mnaumbuka mtaficha wapi sura zenu na master mind wao kigogo Leo sijui atapost mini mjinga yule
Ukificha uhuru wa habari ndio matokeo yake kuna siku itakujakusemekana kajinyea na kafungwa pampus kama lowassa ukiangalia sura yake heart attack ilimpalaza kisawasawa uso ulekasknyaa mno hawezi hata ridge mikono hakuna vijembe kaufyata akimuazia Israeli kamuachaje this time around
 
Babu kibamia unajijibu mwenyewe nani achomwe hivi huyo mtu anafaida gani kwa nchi zaodi ya yeye mwenyewe na genge la wahuni akina lemutuz makonda and the like

Huh??

Unachosema ni kwamba mimi ndo Coco au sijakuelewa?
 
Tatizo yanadhani Tanzania nzima ipo Twitter na JF kuna wajinga wakiona nyuzi zao zimepata like nyingi wanadhani wao ni famous sana na watanzania wote wanawajua. Wamejawa na chuki, husda na ujinga plus urofa
 
Wapi nimesema afe?

Unaandika una hakika ripoti ijayo itakuwa nzuri, umeiona?

Unaelewa hakika ni nini?

Rais anafanya rookie mistake unakubali tu?
 
All in all serikali ijue kuna shida kwani ni mpendwa wetu azushiwe kifo na watu kuanza kushangilia ?kuna shida kubwa sana tujitafakari wote wanaotoa habari za uongo na hao wanaojaribu kumjibu mtu mwehu tu.There is something haiko sawa at all
 
Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa
Hawa watu wanatia aibu upinzani ! Very bad indeed!
 
All in all serikali ijue kuna shida kwani ni mpendwa wetu azushiwe kifo na watu kuanza kushangilia ?kuna shida kubwa sana tujitafakari wote wanaotoa habari za uongo na hao wanaojaribu kumjibu mtu mwehu tu.There is something haiko sawa at all
Leadership is a body which you cannot carry everybody along....inatakiwa muelewe hii kanuni... otherwise kwa fikra zenu ndogo mtafikiri mnaonewa kila siku.....
 
Tatizo yanadhani Tanzania nzima ipo Twitter na JF kuna wajinga wakiona nyuzi zao zimepata like nyingi wanadhani wao ni famous sana na watanzania wote wanawajua. Wamejawa na chuki, husda na ujinga plus urofa

Hilo nalo ni tatizo.

Washiriki wa mitandao ya kijamii ni wachache mno.

Hata humu JF, wachangiaji wa mada si wengi kivile ukilinganisha n idadi ya mada na kelele za baadhi ya wachangiaji, kiasi cha kuweza kupata taswira iliyo potofu na uhalisia wa jambo!
 
Nduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini mtakua naye wewe au mkeo?
 
Kwenye hip pop nakuelewa ila huku mhhh! Ngoja kwanza
 
Jana niliwaambia watu humu, mnasubiri breaking news za kusadikika. Inaonekana hakuna aliyenisikia,yaani watu wako busy planning to celebrate and drinking all those beers! Partying all night yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…