Nimeelewa maana yake ndio.but unadhani we can go to hell ?Unaelewa maana ya "The road to hell is paved with good intentions" ?
Kwenye katiba.
Hujajibu swali langu. Utakubali kupigwa risasi?
Bwisye funud junidDesolate sea urchin.
Hahaaa, umenifurahisha sana kuhusu katiba.Nimeelewa maana yake ndio.but unadhani we can go to hell ?
Siwezi kukubali kupigwa risasi aisee....ndio maana nimesema hili suala gumu.
Invertebrate anthropod.Bwisye funud junid
pick your struggle elsewhere......Invertebrate anthropod.
We jamaa pumba kabisa, utaombeaje Raisi afe aisee af unajinasibu mtandaoni |
Sio kweli,mafisadi ndio wamepewa iyo " hell" uongozi huu,sie wengi tulionyanyasika awamu zilizopita tunapumua awamu hii,,( mimi binafsi nina hali nzuri uongozi huu kuliko awamu zilizopita ,tukubali tu kila nyakati zina nabii wake.Hahaaa, umenifurahisha sana kuhusu katiba.
Uzuri wako unatetea ujinga, ukibanwa sana unachomoa.
Kuhusu hell. Mshairi wa Hip Hop 2Pac alighani katika wimbo wake "Blasphemy" keamba:-
"We probably in Hell already, our dumb asses not knowing
Everybody kissing ass to go to heaven ain't going".
2Pac alielewa kwamba hakuna mbingu wala moto baada ya maisha haya, na moto tunauonja hapa hapa duniani kwa wanaoishi kwa matatizo, na mbingu watu wanaionja hapahapa duniani kwa kuishi kwa raha.
Kwa umasikini, magonjwa na ujinga wa Watanzania wengi, tayari maisha yao ni hell.
Na hao ndio wengi wanaotetea uongozi huu uliowapa hiyo hell.
Na uongozi unaendeleza maigizo ya kumaliza umasikini, magonjwa na ujinga, haufanyi juhudi za kweli.
Kwa sababu uongozi wa sasa unajua watu wakipata elimu, utajiri na afya bora, hao viongozi hawatasalimika.
Next time atamchomoa roho baba ako,pumbaf...Izraili bana kazingua kweli.
Sasa kama sio ya kijinga ni nini bibie? Tukio la kigaidi au la kijambazi linafanya na Chadema kisha serikali inanyooshewa kidole nao wananyamaza? Tuiiteje hiyo zaidi ya mabwege?Dereva na Lissu wameshahojiwa au kutoa maelezo!!! Haswa dereva aliyekimbizwa.. muda wa kuyaandika sina.. rudi kwa nyumaaa kayasome au kuyasikiliza
Eti hoja za kijinga.. sijakushangaa wewe kuona hivyo as upo hivyo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji382][emoji382][emoji382][emoji1782]
Izraili bana.Ndo ajue kabisa hapendwi...
Maana mda wote kwenye kasheshe hilo katika comment 10 karibia 8 zinaomba mabaya kwake
hili jambo si kawaida
Huyo mjinga mmoja hivi, waliokuwa wanafuja pesa awamu zilizopita ndio wanalia.Sio kweli,mafisadi ndio wamepewa iyo " hell" uongozi huu,sie wengi tulionyanyasika awamu zilizopita tunapumua awamu hii,,( mimi binafsi nina hali nzuri uongozi huu kuliko awamu zilizopita ,tukubali tu kila nyakati zina nabii wake.
Na wakulima wa korosho awalipe hela zao.Vizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
Kumkebehi Lissu kuvaa raba mtoni si sawa na kufurahia kilichomtokea Lissu pale Dodoma.
Vivyo hivyo, kumcheka na kumkebehi Rais Magufuli kuhusu uzungumzaji wake wa lugha ya Kiingereza si sawa na kufurahia uzushi wa mauti yake.
Linganisha vitu vinavyolingana na kufanana.
Uliwahi kuona popote pale ambapo mimi nilifurahia na kuchekelea Lissu kutandikwa risasi zote zile?
..TL anavaa raba mtoni kutokana na matatizo ya mguu wake baada ya kupigwa risasi.
..kumdhihaki kwa kuvaa raba mtoni ni kufurahia ulemavu aliopata na kushabikia na kuunga mkono waliotaka kumuua.
Huyo nae ni kichaa kama hao vichaa anaowaongelea..Hata wewe walikuzushia umekufa, eti wewe ndo ulikuwa mtangazaji aliyekufa wakati anaenda kumzika Ruge, kumbe upo.
Shenzi sana Mange Kimavi, shenzi sana Kigogo, shenzi sana Maria Sarungi na wengineo wazushi, pumbavu zenu