Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Acha porojo zako hapa.naona wahalifu mnaanza kutetemeka
 
Labda ameshauriwa ajiuzulu kabla ya kutumbuliwa.
 
Mkuu vijana wa umri wako wanamiliki nyumba nzuri ,biashara ,magari mazuri na familia.

Uchawa haulipi bwana mdogo sana. Badili mindset uliyo nayo.

Kama una taaluma fanya vitu chanya vitakavyokufanya ufikie malengo.

Kuja kujitoa fahamu humu utachelewa sana. Uchawa si maisha.

Mengi unayopost humu ni kielelezo cha mtu mwenye elimu lakini hajaelimika.

Bado hujitambui na hujui Lucas anataka nini ktk maisha.

Karibu kwa povu na mipasho.
NB: BTW NANI ANAJALI!
Jikatalie wewe na ujinga wako.
 
Kupanga ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…