Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Umesikia wapi Magufuli alisema atampa u AG Lissu? Kasema atampa kazi ndondogo, AG siyo kazi ndondogo.Magu atakuwa anataka kumuhonga Lissu ili awe AG!Kweli mambo ni mazito!
Vipi mkuu jingalao mwambieni mgombea wenu anadi sera Ikungi wana matatizo kibao.Na mvimbe mpasuke
Huyu kabarikiwa akili za kubwabwaja tu bt watanzania wanaojielewa washamjua maana angekua mzalendo asingesaliti kwenye sakata la madini.Mzee wa tutashitakiwa MIGA ni bure kabisa kila hotuba yake lazima aombe wazungu wamsaidie!!!
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho, mwisho wa ccm umefikaHali imekuwa tofauti na matarajio
Lini Magufuli kasema atampa Lissu uanasheria mkuu? Mbona nyumbu mnapotosha?Baada ya kuambiwa hana jipya sasa ameanza kuja na mapya!Kweli ameshikwa pabaya,anataka amuhonge Lissu uanasheria mkuu wa serikali [emoji16][emoji16][emoji16]!Inaonekana watu hawajaelewa flyover na madaraja!
Mkuu mwambieni magufuli anadi sera.Haya matusi ndio yatasaidia Lisu kushinda?..
Mlivyokuwa mnahamasishana humu kwamba msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura mlifikiri huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?
Kwa mujibu wa Meko hizo ndio kazi ndogo ndogo? Ndio maana anateua AG na DPP wa hovyo sana kumbe haelewi hata hizo nafasi na umuhimu wake.Tundu Lisu anafaa kuwa AG au DPP lakini siyo Rais wa Tanzania!
Tundu hamshindi Magufuli popote, asubiri uteuzi kwa nafasi atakayoiweza sio urais🤣🤣🤣
Maendeleo hayana vyama
Ndo ujue akili za nyumbu hovyo kabisa.Ni wajinga mkuu!
Yani kuna wakati najisikia aibu kweli kumuona mwanaume mwenzangu humu alikuwa anakejeli uboreshaji wa daftari la mpiga kura kwa kusema hawezi kwenda kupoteza muda, au hana muda mchafu alafu leo anazungusha ball zake eti Lisu atashinda?
Hawa jamaa ni majuha sana.
Ushindi wa Lissu viashiria vyake mbona viko wazi! Kura zake zipo kwenye makundi yafuatayo:-Humu jf kila siku chadema mnasema Lissu atashinda atakuwa rais October. Kwani mmekuwa tume ya uchaguzi siku hizi?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu sera zinanadiwa sema nyie mnapenda kusikia tu hivyo vibwagizo badala ya sera.Mkuu mwambieni magufuli anadi sera.
Tundu hamshindi Magufuli popote, asubiri uteuzi kwa nafasi atakayoiweza sio urais[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maendeleo hayana vyama
Magufuli ni rais wa wanyongeKuliko udhalilishaji kwa umaskini na maisha yako bora unyanyaswe kwa mambo mengine, Mzee leo kawaambia Singida kuwa atawapa kazi ndogondogo maana hawana nguvu ya kuwa na mgombea wakuingia Ikulu.
Kwanini tumepaniki kiasi hiki? Hatukujipanga kufanya kampeni? Eleza sera zako acha wananchi wachague siyo ueleze Mambo binafsi.