Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Tangu nizaliwe sijawahi kumpigia kura mgombea wa urais kupitia CCM na sina ndoto hiyo
 
Lissu akisikia habari hizi atapayuka kama kawaida yake.

..anayepayuka ni Jpm.

..hayo maneno hayafai kuyasema kijijini alikozaliwa TL.

..yaani Jpm aliyemnyima matibabu TL leo anaahidi kumpa kazi?

..kwanini hakuzungumzia uchunguzi na kuwabaini waliojaribu kumuua TL?
 
Majengo zahanati,vituo vya afya, maji.. Eti Sikuwahi kuombwa maji.... Mtaturu miezi michache kaniomba maji... wengine walikuwa hawaombi ( Lissu).. Hivi miradi afya,maji ,barabara ni hisani ya mtawala!?
Anajua anatawala watu wajinga ndio maana anaongea ujinga bila aibu.
 
mbona kama hataki mwenzie agombee ? yani anataka mgombea awe yeye tu
 
Sasa kama unajua ni tumeccm mmekomaa na kampeni za nini?
.
Miaka yote mitano mlikomaa na kingereza cha Magufuli na viishu vingine vya kipumbavu, tukiwaambia mnatuita Lumumba.
.
Serikali ilipotangaza kuboresha daftari la mpiga kura mkajifanya wajuaji eti hamuwezi kuitikia wito wa tumeccm.
Haya huyo Lisu wenu mnategemea atapigiwa kura na mawe?

Na bado subirini oktoba tuwanyoe
 
Siasa ni imani kwa kile mtu anachojua ni sahihi. Kama wewe unavyoamini kwa Tundu ndivyo Mimi ninavyoamini kwa Magu. Kati yetu mmoja anaweza kubadilika na kufanana na mwenzie kiimani kama ataona manufaa kwenye kile anachoamini.
Tuendelee kuelimishana siasa sio vita
 
Wakurugenzi ni deal .... Hapigi push up mtu mwaka huu!!
 
Mkapa alikuwa haamini kwa Magu hadi atake Tume huru? Unadhani ni kwanini hakuwa na imani na hiyo tumeccm?

Eti siasa siyo vita wakati watu wanatekwa wanateswa kubambikiwa kesi na hata KUUWAWA! Akili za wapi hizi? 😳😳😳



 
Ila JPM bwana kuna wakati anajitoa akili kabisa anabaki {}
 
Haiwezi kuwa kweli aliyokuwa nayo aliporwa katika Hali inayokosa ubinadamu kwa msaada wa ambao tulitegemea ni wasimamizi was watoa haki,Tena zikitolewa kejeli nyingi zilizo kids utu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…