Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Watu tushawahi rogwa kwa mambo kama hizi tukajuta na sasa tunavuna tulivyopanda but maisha yanaendeleaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Em simulia kwanza ilikuwaje hadi ukarogwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Survival for the fittest......!!!!

Mwenye nguvu ndio anakula vitu!!
Kwakweli,. Lakini ndio sio kwa kufanya hadharani kila mtu anaona anatushushia heshima aisee kama ukoo
 
ila ipo namna kama vile familia ndio mnatatizo kiongozi Leejay49 mnamvumiliaje mtovu wa nidhamu?
Huyu Uncle kwanza ana karibu miaka 10 na kitu hajawahi kurudi nyumbani wala kuwa na mawasiliano na yeyote,. Amekuja kurudi 2023 kwajili ya suala lake la kuoa ndio wazee wamemvutavuta mpaka mwaka huu maana walikua hawamwamini ,. Tena ndio anafanya mambo kama haya na ni mtata hataki kuambiwa lolote mnamfanyaje??
 
Ngoja kwanza tuone itakavyokua mkuu,. Ila sio vizuri kwakweli
 
Haahah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Heee๐Ÿง๐Ÿง,. Kwamba mchepuko anahudhuria hadi vikao vya send off?? Huyo alivuka mipaka sasa
 
Haishi huu mkoa tatizo,. Anapitaga tu akiwa na safari zake labda za biashara na akija na Uncle basi
 
Kabisa kama anaogopa kujulikana, tuma liujumbe kisha tupa laini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hahaha nimeulizia namba yake hapa imepatikana ila huo ujasiri ndio sinaaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„,.
Mambo yao nawaachia wenyewe bhana Lol
 
Ila wewe mkuu hapana aisee,
Lol๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wewe Leejay49 sasa ndiyo mwanamke wa kuoa sababu mumeo akiwa na bi mdogo binti mchepuko hakutakuwa na vurugu sana.
Uncle wako kakuonesha siyo wanyama au mazimwi wanaokuwa na wanawake wawili. Kwa mwanaume wa kiafrika hayo ndiyo maisha halisia.
Weee! ,. Mie nina vuruguu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Huyu uncle ni mtata mno,. Kwanza wanaweza wakamwambia wengine huko akahisi ni sisi aanze kutunyanyasa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ