Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Survival for the fittest......!!!!

Mwenye nguvu ndio anakula vitu!!
 
dah inasikitisha sana na huenda wanaume wa maana wanamchumbia anawakataa kwa mbwembwe zote kwamba ninaye nimpendaye kumbe ameangukia kwa tapeli,ila tusimhukumu huenda ataoa wanawake wote wawili maana kuna mwanaume kwa ajili ya wanawake mia hakuna mwanamke kwa ajiri ya wanaume wawili
 
Mimi ndio uncle yako, huyo manzi ninayekuja naye skani adi kwa bi mdashi ananielewa sana, nilishampanga kuwa demu wa ng'ambo simpendi wala nini lakini ndugu akiwemo mother wananilazimisha nimuoe na pia nimesikia fununua wameshamlipia mahari wakati demu mwenyewe anajiuza tu huko nje, mimi nakupenda wewe, siku demu akirudi huyu manzi wa huku kitaa nitamwambia kuwa bi mdashi amenitishia kunilaani kama sitamwoa, kama hujui huyu manzi angu wa kitaa kila siku ananipa pole kwa kulazimishwa kuoa mtu mwingine.
Ndio tunajua,. Lakini anashindwa kufanya hata kwa siri ??, vipi wakwe zake wakijua wanakua wanamuwazia nini binti yao? Anaolewa na mtu wa namna gani??
 
Haya mambo huwa yanashangaza sana... hata wanawake baadhi ni shida... kuna cousin wangu wa kike kwenye kikao chake cha maandalizi ya send off party katibu wa kamati alikuwa mchepuko wake wa kudumu.. walishindwa kuoana kwa sababu mchepuko ni mume wa mtu. Ikabidi mchepuko na cuzzo wakubaliane cuzzo aolewe tu. Yule jamaa alikuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha mambo yanaenda sawa hadi cuzzo kaolewa. Binafsi sikushiriki chochote kwenye hiyo shughuli haramu.
 
Naanzaje jamani mimi,. Maana Uncle kama kashindwa kuwasikiliza dada zake , kaka zake na mama yake mzazi wanamwambia kila siku haelewi mie nitaanzia wapii?
Chapisha paper ndogo tu yenye ujumbe huu. NDUGU NIMEAMUA KUKUJULISHA HILI ILI UWE NA UFAHAMU. KIUFUPI HUYO MPENZI WAKO ANA MTU WAKE KARIBIA ANAMUOA NA VIKAO VYA NDUGU PANDE ZOTE TAYARI VINAKALIWA. NIMEPENDA TU UJUE MAPEMA HILI HIVYO ILI USIJE UKASHTUKIZWA HUKO MBELE. ILI UWE NA MAAMUZI YA MAPEMA. NI MIMI MSAMALIA MWEMA. .

Kachapishe hilo andiko stationary ya mbali wasikokufahamu. Then ikunje ibane na pin usiweke kwenye bahasha. Chapisha jina lake juu.
Mvizie ukimuona tu kabla yeye hajakuona mpe kijana asiekufahamu ampelekee. Chap we geuka pita kushoto.
Sio umbea ila utakuwa umemsaidia mwanamke mwenzio asije kuugulia maumivu.
 
Iyo mbona ni kesi ya kawaida sana
 
Kabisa kama anaogopa kujulikana, tuma liujumbe kisha tupa lainiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siku zote mwanaume ni tatizo kama hujui muulize mama yako
Alafu hakuna tatizo kwa mwanaume kama ukimwelewa
 
Ningayajuaga mapema haya masuala hata mimi nisingefanya huu upuuzi niliofanya wa kuwa commited kwa mwanamke mmoja. Ni mbaya sana. Inabid uwe nao kadhaaa, halaf wale trusted wenye sifa za kuolewa kabisaaa wawe kama wawili au watatu. Utaishi kwa raha sana.πŸ˜‚

Trust me huyo uncle wenu HAKUNA LITAKALO MPATA. anajua exactly ni nini anafanya 🀣. Mwachen na maisha yake
 
Wewe Leejay49 sasa ndiyo mwanamke wa kuoa sababu mumeo akiwa na bi mdogo binti mchepuko hakutakuwa na vurugu sana.
Uncle wako kakuonesha siyo wanyama au mazimwi wanaokuwa na wanawake wawili. Kwa mwanaume wa kiafrika hayo ndiyo maisha halisia.
 
Mpaka hapo kweli mjomba wenu ni mtata aisee

Ila kwa akili hizo yani huyo bidada achilia mbali kuwaza kuroga

Amini si tu rafiki wa huyo ankoli bali hata kwa ninyi nduguze ankoli mtaonekana wanafiki vibaya mno.

Pasi na kujua kwamba mngemwambia ila akili ya ndg yenu mnaijuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…