Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Huko kote mbali,juzi shinyanga tukio la waendesha baiskel wakishindana sijui uwanja wa kambarage,jua lilikuwa kali akatokea mtu akasema napunguza makali ya jua ili watu wapate burdani,aisee na kweli jua lilipoa.
Huyo mtu inabidi atafutwe kipindi cha kiangazi awe anapunguza makali ya jua
 
Bilingi ananijua na alikuwa rafiki yangu sana hata Sasa tulikutana msibani kafita kama unapajua kama miaka2 miwili tu imepita tuluongea na kuniasa mengi sana.

Ni kati ya mapdree walioondoka bila skendo chafu yoyote.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚ Saiv yupo hspitali ya sengerema pale kwaajili ya upako kwa wagonjwa ni mtu mmoja powa sanaa mfuasi haswaa wa mzee maguful
 
Hayo maeneo ni ya wap, wilaya
 
Kama Lukondya niliwahi muona ila kama huyo wako jina kwangu geni.
 
Ndo hivyo sasa hata ukute mlokole vipi ukimzingua anaomba upako kwa shangazi,mama mkubwa mjomba baba na wajomba lazima ukubali tu.

Ni majeshi majeshi yaani huwa wanapeana tu bila malipo yoyote.

Soma hapa pia mdau alipita mlemle

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…