Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.


Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.


Tuna Shetani Ikulu. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuwawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.
Kuna mwili wa ndugu yangu sijaupata tarehe 9 watanijua
 
Labda anajiamini kwamba hao ICC nao kuna namna atawamudu. Who knows?
ICC ikimwita tu na kugoma kwenda basi akitangazwa tu akamatwe yeye na wahuni wenzie kina abdul ,kikwete mwinyi mafwele , nk basi kazi imeisha watanganyika watamvamia na kumtia mikononi uenda hata hiyo ICC asifanikiwe kuingia
 
ICC ikimwita tu na kugoma kwenda basi akitangazwa tu akamatwe yeye na wahuni wenzie kina abdul ,kikwete meinyi mafwele , nk basi kazi imeisha watanganyika watamvamia na kumtia mikononi uenda hata hiyo ICC asifanikiwe kuingia
Duh kumbe
 
Back
Top Bottom