Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.

Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.

Tuna Shetani Ikulu. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuwawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.
Samia ni duanzi hasa
 
Huyu mama nio katiri hatari ,kwa maneno aliyoyasema Gen Z mkienda kizembe D9 hakika vifo vita tripple.
 
Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.

Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.

Tuna Shetani Ikulu. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuwawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.

Imagine hiyo nguvu ya kuua mpaka watu 10,000.

Sasa ingekuwa USA wakati wa BLACK LIVES MATTER wangeua wangapi?
 
Hivi kaka yake Pole pole aliwaambia nini vile nadhani hicho kitu kinamsumbua sana akili huyu bibi
 
Samuya ni anatia hasira balaa, Huyu sio mtu wa kawaida jamani
kama ujala bado usimsikilize kula kwanza ndio umsikilize maana unaweza shindwa kula chakula kwa hasira
 
Bi chura anatema boko km anaimba taarab full michambo
Sijui anafanya hivi kwa nia gani?
Kwenye week ya hatari km hii badala ya kuja na solution yeye anatema utumbo km huu!!

Ngoja tuone hii week ya moto sana!
 
Anajua litalomtokea hivyo kaamua ligawa. Na ikitokea mapinduzi basi waislamu watasema kapinduliwa mtu wetu, na wao watalipa kisasi
Amefeli kuwashawishi Watanganyika kwa propaganda zake uchwara kaamua kuwauzia udini tena kwa nguvu.

Huyu bibi ni zaidi ya shetani kwa kweli na ngoja tutamuonesha hiyo Desemba 9
 
Mmesikia wenyewe kiburi na jeuri aliyonayo uyo mama kwenye hotuba yake. Watanzania mkae mkijua kwamba mabadiliko ya kweli yatapatikana kwa armed struggle, tafuteni silaha ,mauaji kwenye maandamano yataendelea kama kawaida. Msiamini kabisa mtu anaewambia maandamano ya amani wakat wao na silaha za moto.
Kwenda maandamno twende ila tuwe na silaha za backup kikinuka tunajibu mapigo. Sisi uku Arusha tushapata chimbo na tumejiandaa.
MACHALII ZANGU WATANZANIA TUTAFUTE SILAHA ZA MOTO ,LIWALO NA LIWE .
 
Back
Top Bottom