Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Sikujua hili limtu kichwani ni zaidi ya kopo, leo rasmi limekiri kuua watanzania wasiokuwa na silaha waliokuwa wanadai haki zao, sasa atuonyeshe miili yao iko wapi, hotuba yake imeongeza kuni na petrol na wale ******* waliokuwa wanamshangilia ni ngumu kuwaelewa