Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

Sikujua hili limtu kichwani ni zaidi ya kopo, leo rasmi limekiri kuua watanzania wasiokuwa na silaha waliokuwa wanadai haki zao, sasa atuonyeshe miili yao iko wapi, hotuba yake imeongeza kuni na petrol na wale ******* waliokuwa wanamshangilia ni ngumu kuwaelewa
 
Wewe ni mpumbavu sana unapenda kukurupua mambo yasiyo na tija kwa mihemko
Mpumbavu ni yeye aliyeropoka na kukiri kuwa aliagiza yafanyika mauaji au mimi ninayeripoti upumbavu wake unavyoenda kumtia hatiani?

Tulieni tu dawa iwaingie vizuri
K Vant anazofakamia zinamtoa ufahamu sana
Sasa ndo ataenda kuelewa msemo anything you say might be used against you in the court of law una maanisha nini?
 
Sikujua hili limtu kichwani ni zaidi ya kopo, leo rasmi limekiri kuua watanzania wasiokuwa na silaha waliokuwa wanadai haki zao, sasa atuonyeshe miili yao iko wapi, hotuba yake imeongeza kuni na petrol na wale ******* waliokuwa wanamshangilia ni ngumu kuwaelewa
Kwenye ziara na mikutano yake yote ukiona kuna watu ujue wameandaliwa na kuna posho wanalipwa.

Wale walioitwa wazee leo ni wahuni wa mitaani waliozeeka qaliochukuliwa chini ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM na wamelamba posho pale.
 
Wacha weee!
Nyie ndo mnajiita mna akili?
Ingieni tena tarehe 9d, ndo akili zitawakaa vizuri..
KARIBUNI
Kwani vita ina macho? Kwamba, mtakuja kuua tu halafu na nyie wenyewe msipigwe na kufa pia?

Huyu mama mshenzi ameuchochea moto. Tutaona kama bunduki zake zitamwokoa this time

Amepata nafasi sahihi ya kufanya amend, lakini mjinga huyu kajiingiza kwenye fire mwenyewe

Sikikiliza ndugu KERATO MOMBAA, huyu hayawani wa kike katutangazia vita hadharani sisi raia anaojidai anatuongoza kwa kauli ya mdomo wake mwenyewe kuwa "njooni tumejiandaa".

Mwambieni, moto unakuja. Na ahakikishe amejiandaa maana ni AMA ZAKE AMA ZETU. Asije akakimbilia kwa Yoweri Museveni au kwa wajomba zake Oman au Dubai 🚶🏻🚶🏻🚶🏻
 
Kwani vita ina macho? Kwamba, mtakuja kuua tu halafu na nyie wenyewe msipigwe na kufa pia?

Huyu mama mshenzi ameuchochea moto. Tutaona kama bunduki zake zitamwokoa this time

Amepata nafasi sahihi ya kufanya amend, lakini mjinga huyu kajiingiza kwenye fire mwenyewe

Sikikiliza ndugu KERATO MOMBAA, huyu hayawani wa kike katutangazia vita hadharani sisi raia anaojidai anatuongoza kwa kauli ya mdomo wake mwenyewe kuwa "njooni tumejiandaa".

Mwambieni, moto unakuja. Na ahakikishe amejiandaa maana ni AMA ZAKE AMA ZETU. Asije akakimbilia kwa Yoweri Museveni au kwa wajomba zake Oman au Dubai
Msije anza kulia lia mara tunataka kujua wamekufa wangapi, mara umoja wa mataifa..
All in all, karibuni mvuruge amani, na nyie mvurugwe!
 
Kwenye ziara na mikutano yake yote ukiona kuna watu ujue wameandaliwa na kuna posho wanalipwa.

Wale walioitwa wazee leo ni wahuni wa mitaani waliozeeka qaliochukuliwa chini ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM na wamelamba posho pale.
Wao inawaathiri nini au nyie ndiyo mnaathirika na roho mbaya
 
Unaelewa maana ya kukiri mbwa wewe mbona unalazimisha na kupandikiza vitu ambavyo havipo.
 
Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.

Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.

Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.
Weka humu huo ushahidi wa kukiri kwake siyo kutafasuri unavyotaka wewe
 
Huyu dunia inaenda kumshughulikia hadi atajuta kuzaliwa.
siku ya kuapishwa huko vichakan, nilimuangalia kwa jicho la ndani sana nikawaambia watu, na huku nilicomenti pia, "this woman is ready to kill thousands to remain in power". Jana kathibitisha bila kupepesa macho wala kumumunya maneno kuwa nilikuwa sahihi kwa asilimia zote.
 
Ile statement aliyotoa jana ataijutia maisha yake yote hadi anaingia kaburini
 
Kakiri na kawaambia njooni
Huyu mama ni threat wa usalama na utengamano wa hili Taifa.

Hastahili hata kuwa Diwani.
Mlitaka atoke awabembeleze.... Kawaundia wizara mmemuona fala
Kaunda tume mkamuona fala
Kawaambia katiba ipo na kawekea kwenye ilani mmemuona fala
Kaongea kiupole mkamuona fala

Sasa kawaita kati wote muda wowote MNALIALIA

#TOKENI WATAKUWEPO NA MTAWAKUTA.
 
Najua huna akili na hata shule hujaenda hivyo hujui matokeo ya kauli ile na madhara yake kwake aliyetoa hiyo kauli.

Tulia tutakukumbusha umuhimu wa kuwa na akili wakati atakapoanza kuahughulikiwa kwa hiyo kauli yake.
 
siku ya kuapishwa huko vichakan, nilimuangalia kwa jicho la ndani sana nikawaambia watu, na huku nilicomenti pia, "this woman is ready to kill thousands to remain in power". Jana kathibitisha bila kupepesa macho wala kumumunya maneno kuwa nilikuwa sahihi kwa asilimia zote.
Pumbavu sana wewe kama ni mwanaume jitokeze umkabiri si unauhakika amekiri uone
 
Back
Top Bottom