Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

Bogus kweli huyu mama sasa unasema hivyo na tume umeunda ya nini??wakati mhalifu tayari ni wewe, it's a wastage of time.
Tarehe 9 dunia macho yatakuwa tz wajichanganye tu kuuawa watu waone
 
Yaaani amesema wazi kabisa. Walifanya hivyo na Watafanya hivyo yena na ni kama anajitamba kuwa hakuna tunaweza kumfanya.
 
Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.

Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.

Tuna Shetani Ikulu. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuwawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.
Hata ile tume aliounda haina kazi tena
 
Hata ile tume aliounda haina kazi tena
Tume haina kazi tena.

Kibano kimezidi hadi kachanganyikiwa na kuonesha rangi zake halisi.

Uzuri Watanganyika na dunia leo tumeshuhudia kuwa ikulu kuna muuaji mnywa damu za watu anayelazimisha kututawala kwa nguvu.

Sasa ngoja tumuoneshe kuwa Dictators hawajawahi shida vita zao dhidi ya Umma.
 
Nilisema kuwa wale jamaa wenye nguo nyeusi na cap nyeusi wale walikuwa wanatawala kila kona sababu ya order ilishatolewa na vikosi vyote vilitii na kuwaacha wafanye yao
 
Huyu ameshajipeleka kibra mwenyewe. Tumsindikize tu.

Atachague aende na nani na CDF au IGP au DGIS au wote?
 
Eti vijana wa upinzani. Huyu mama kwa kweli anapata kazi sana.

Vijana wa upinzani kutoka nje. Si alisema waliofanya vurugu walitoka nje. Sasa anasema ni vijana wa upinzani tena. Kazi ipo
 
Yaaani amesema wazi kabisa. Walifanya hivyo na Watafanya hivyo yena na ni kama anajitamba kuwa hakuna tunaweza kumfanya.
Jeshi limekubali kuwa upande wake ndio maana anajitapa ila likigeuka nikilio tena anatakiwa aburuzwe akiwa wazi kqbisa
 
Kwa hotuba yake ya leo ajiandae kwa lolote kutoka Jeshini.

Tunajua JWTZ wamekuwa compromised hasa majenerali ila kwa aliyoongea leo, nina uhakika bila shaka wenye akili wachache waliobaki watamfundisha somo ambalo litasomwa na kila mwanasiasa atakayepata nafasi ya kuwaongoza Watanganyika.
 
Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.

Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.

Tuna Shetani Ikulu. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuwawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.
Wewe ndio ulikuwa unahamasisha vijana kuchoma mali za watu na umma. Wewe ndiye upashwa kupigwa risasi ya kichwa. Siyo hao vijana nyumbu promax
 
Back
Top Bottom