Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

Wewe ndio ulikuwa unahamasisha vijana kuchoma mali za watu na umma. Wewe ndiye upashwa kupigwa risasi ya kichwa. Siyo hao vijana nyumbu promax
NA aliyeamuru vijana wauwawe kwa risasi za kichwa afanywe nini?
 
Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.

Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.

Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.
K Vant anazofakamia zinamtoa ufahamu sana
 
Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.

Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.

Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.
20251202_162554.jpg
 
Huyu Mama akifika mwezi wa 6 mwaka kesho niite mimi mbwa.

Kama hatokuwa ICC atakuwa kaburini.
Mbwa, nimeshakuita tayari kabla ya mwezi wa 6.

Maana ulisema kabla hata uchaguzi asingefika
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kwa hotuba yake ya leo ajiandae kwa lolote kutoka Jeshini.

Tunajua JWTZ wamekuwa compromised hasa majenerali ila kwa aliyoongea leo, nina uhakika bila shaka wenye akili wachache waliobaki watamfundisha somo ambalo litasomwa na kila mwanasiasa atakayepata nafasi ya kuwaongoza Watanganyika.
Nachojiuza jwtz waje kuuawa raia wanaowalinda? Au ataingiza vikosi vyake tena kutoka zanzibar na uganda
 
Ujumbe uwafikie tena TEC

Wakituma tena vijana wao waje wachome nchi hii basi waandae na majeneza ya kutosha??

Ni mwendo wa shaba
 
Kwa hotuba yake ya leo ajiandae kwa lolote kutoka Jeshini.

Tunajua JWTZ wamekuwa compromised hasa majenerali ila kwa aliyoongea leo, nina uhakika bila shaka wenye akili wachache waliobaki watamfundisha somo ambalo litasomwa na kila mwanasiasa atakayepata nafasi ya kuwaongoza Watanganyika.
Shithole comment.
 
Wale wa ICC

Kazi imeshaisha.

Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.

Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.

Tukamalize kazi ICC bila kusahau Desemba 9.
Nani kama Mungu
Amejilengesha bila kujua
Arrest warrant hiyoooo

ICC wanashukuru sanaaaa

Tutafute list ya wazee wapu naniliii iwekwe tuwasalimu
 
Wakati wowote mafala.mkija tumejipanga
 
Wewe ni mpumbavu sana unapenda kukurupua mambo yasiyo na tija kwa mihemko
 
Nani kama Mungu
Amejilengesha bila kujua
Arrest warrant hiyoooo

ICC wanashukuru sanaaaa

Tutafute list ya wazee wapu naniliii iwekwe tuwasalimu
Larry Madowo anairusha CNN muda si mrefu.

Acheni Mungu aitwe Mungu
 
Back
Top Bottom