Kiteitei
JF-Expert Member
- Jan 14, 2009
- 1,595
- 1,540
zile mbavu upate mchomaji mzuri halafu aweke kapilipili kwa mbaaali,kachumbari na mzuzu wa kuchoma?!! weee mzee usitutanie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zile mbavu upate mchomaji mzuri halafu aweke kapilipili kwa mbaaali,kachumbari na mzuzu wa kuchoma?!! weee mzee usitutanie
😅😅😅😅sio chai hii mkuumiaka fulani jamaa mmoja alipata kazi kwenye kampuni fulani ya kizungu kwa bahati ikatokea kipindi cha Noel na wazungu wakawa wanafikiria ni kwa jinsi gani wanaweza kuchinja bata mzinga.
jamaa akawajibu simple naweza basi jamaa akenda kwao akakamata kama tulivyozoea kuchicha kuku akawachinjia lakini kilichotokea sasa.
wakamwambia Kazi kwao basi kwa kuwa walimwona ni mtu katili sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! ZinavyochakatwaDar's man.
Ipo siku utazionea huruma papuchi
Mkuu kwa ufupi ni kwamba damu ikiganda kwenye nyama inafanya nyama iwe km ya kibudu.Kuchuruzika kwa damu hufanya nyama kuwa tamu.Kitaalamu kuna Kitu kinaitwa "Carcass Marbling",means tenderness and juiciness of the meat.Samahani nimeshindwa kuiweka ktk Kiswahili,lkn Ina maana ya Nyama kuwa ktk hali ya ubora kwa kulika na utamu.Lkn km damu haijachuruzika hiyo "Carcass Marbling", haiwezi kuwepo.Kuna uhusiano gani Kati ya ubora wa nyama na damu mkuu
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Alaf unakuta huyu nae ni mtoto wa kiume kwa staili hii kwanini asivae hereni na kusuka na kuona Ni kitu Cha kawaida tu hata kuolewa pia ataona ni jambo dogo
Kisa kumuonea huruma mtongozaji
😅😅😅😅sio chai hii mkuu
Dua itasaidia nini?Unafiki mtupu.Huu ni ukatili wa sisi wanadamu tukiuhalalisha kwa kutumia maandiko matakatifu.Huyu hakupigwa dua kabla ya kuchinjwa
Sio chai Kuna kisa kimoja alinielezea mzee wangu wakati wanasoma Edinburgh Scotland walipograduate wakapanga kwenda kusheherekea graduation yao kiafrika wakabeba pombe zao na kondoo Kama watatu na walikuwa mataifa combined wakenya watanzania waafrika magharibi nk wakaenda porini na wakawaalika marafiki zao baadhi wa kizungu walipofika kule porini wakaanza kuwachinja wale mbuzi kwa visu .😅😅😅😅sio chai hii mkuu
Unamaanisha maumivu ya labour ni sawa na kuchinjwa, cant be seriousNadhan siku ukienda labor na kuona jinsi wanavyojifungua wake zetu wakati mwingine kupigwa na manesi ili mtoto atoke nadhani hata **** utaaacha utataka uwe padri
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Karibu mkuu tupo vegan wenzio hukuNdugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.
Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.
Superbug
Ukatili haumfanyi mtu kwa 'mwanaume zaidi' au 'jasiri', zaidi zaidi ni kipimo cha ujinga na kukosa ustaarabu / ushenzi.
Nimechinja sana kuku nikiwa kijana, yaani nyumbani ndiyo ilikuwa kazi yangu hiyo. Lakini kuna siku nikiwa na kisu mkononi, nimemkany'aga kuku miguu na mabawa, kulikuwa na kuku wengine wawili watatu wamesimama pembeni wanaanglia kwa mshangao nilichotaka kufanya, nilijikuta tu namwachia yule kuku.
Nilitafakari sana ubinafsi wetu binadamu. Kuku wale tuliowafuga walikuwa wamenizoea sana, yaani pengine walikuwa wananiona kama mungu flani hivi kwao, alafu mwisho wa siku naishia kuwachinja kikatili kabisa.
Kurudi ndani nikaulizwa kuku yuko wapi, nikawaaambia kaniponyoka kakimbia, tuangalie utaratibu mwingine. Watu walinuna kwelikweli lakini maza akasema basi leo haikupangwa kuwa siku ya kuku, na tule mboga za majani.
Toka siku hiyo sijawahi tena kuchinja kuku.
Ulivyo elezea umenitia simanzi kwa kweli, na hapa nimepika ndizi nyama, sijui itakuaje.Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.
Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.
Superbug
Nyama yoyote usile, we kula kijani tu
Mpelekee jiranUlivyo elezea umenitia simanzi kwa kweli, na hapa nimepika ndizi nyama, sijui itakuaje.
Umewahi kula mayai huku kuku anakuangalia? Utaacha kula.Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.
Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.
Superbug
Ushafikiria kuacha kula nyama??Ulivyo elezea umenitia simanzi kwa kweli, na hapa nimepika ndizi nyama, sijui itakuaje.
KE, ME