Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Tunawatakia wizi mwema wa mali za ummaMida ya kula hela za burebure umefika. Karibuni kizimkazi
Mimi siibi naenda kuzila za kizembe kupoza machunguTunawatakia wizi mwema wa mali za umma
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Nyie hela chadema si anakula mbowe pekeake nyie mnaimbishwa mapambio tuHivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Dah. Haya majibu huwa unayatoa wapi? 😂Sijawahi kushiriki ujinga
😆😆😆😆Mkuu ule Uzi ambao unasema siku za peponi umeandika namba unazungumzia neema iliyopatikana Karina utawala wa kikwete naomba link
Karibu sanaDah. Haya majibu huwa unayatoa wapi? 😂
Akina Doto magari hao,Alafu wanakuja mitandaoni kutukana watu waliosoma 😄Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Aiseee! Huu ni wizi mkubwa kwa wananchi maskini CCM jibuni hoya hizi.Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
Unafikr yule nyambichwa manywele atoe hela zake ajilipilie accomodation aendeKabla ya kuhoji hela zimetoka wapi tuletee ushahidi wa unachokisema.
Je ushahidi wa unachokidai uko wapi ?
Unaanzaje kuhoji jambo ambalo halijathibitishwa hata na wewe mwenyswe ?
Usijali wajomba wanaotoa fedha za mafuta, watumwa na meno ya tembo.Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?
P*mbavu kabisa njaa zitakuuaTangu lini Tamasha la utamaduni la kutangaza Utalii wa Tanzania ukawa ujinga?
Una uhakika wewe sio ndio kwanza inaonesha ujinga wako?
"Inadaiwa.. " uncertainty.Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila kitu, Ni Ujasiri wa kutisha!
Hivi hizi hela za kuchezea kwenye mambo yasiyo na Tija kama haya tunazitoa wapi?