Saidi bwege sana.. Unaoaje malayaMnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Nyumba 3 Ndani ya miezi 5!
Yani asingempiga angemchuna ngozi tuu akamuachaNasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshinda akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
MwamposaNyanda za juu kusin shujaa wetu nan
Ndo hapo sasaUkiwa na ujasiri huu, kwa nini usiondoke na dikteta mmoja duniani, na historia ikakukumbuka?
Inabidi ex naye atafutwe sasaNasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshinda akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
Hata wao walikuwa wanakula wali maharage unafikiri walipanga tu yawakute!..Watajuana wenyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Aaaahhh kudadadeki kweli hapo njemba iliyumba kukubali kurudiana na huyo shetwaaiin wahed.
Ndio maana basi akamchapa shaba saba asee sio kwa ufara huo. Hata mimi ningefanya maamuzi magumu. Ningemnyang'anya kila kitu mpaka chupi nilionunua.
Shahidi wa kwanza ambaye ni mdogo wa huyo demu anaeleza chumbani alikua dada yake na jamaa alisikia wakigombana ikafuatia milio ya risasi baada ya hapo alimuona shemeji yake akitokomea pasipojulikana huku akiwa ameshika pistol, hiyo scenario yako tungeweza kuiapply endapo mdogo wa demu asingemuona shemeji yake.Hivi Itakuwaje Tukiwaza kuwa Ex wa Swalha ndo kawaua wote wawili na kwenda kumtupa Said Ziwani?
Aisee kula tano 🖐Watajuana wenyewe huko walipo sie tunaendelea kula wali maharage maisha yanaendelea
Pengine alianza kumjengea kabla hajamuoa kumrubuni atoke kwa mme wake ili amchkue yeye jumla jumlaNilimsikia mama yake kama ndoa yenyewe ilikuwa na miezi mitano hivi, sasa huyo Saidi amejenga nyumba tatu na kununua gari mbili katika kipindi hicho kifupi?
Mbona haya mengine ni nyongeza isiyopimika akilini?
Noma sana!Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
kwa risasi 7.Nimemuambia raraa reree kwamba kwa actions zilivyotokea nafikiri angekua na wakili mzoefu angeweza achiwa kwa excuse ya 'temporary insanity'
Chuma yawahusuMkishindwana achaneni peaneni talaka
Yea.kwa risasi 7.
Inabidi muachane mapemaWanawake wasiojielewa wapo wengi tu tuishi nao kwa akili.juzi nilipatwa na hasira nikampa mabao mawili ya nguvu.wana majibu ya ovyo sana .akakimbilia kumpigia simu mamaake kwamba nataka kumuua .mamaake kanipandia hewani eti nataka kumla mwanawe nyama.hakunipa nafasi ya kunisikiliza so simlaumu huyu jamaa.makosa yao yanatufanya tuonekane wabaya kwa jamii
Tulia basi uone.Naomba unipe afu uninyang’anye mzeyaaaaa