Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Sas ndo apige risasi7 za kichwa?
 
Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Umenena vyema mjamaa alitaka kumilki pisi kali afu hana roho ndogo kama ya njiwa
 
Huyo Said ni fala tu, yaani unaua kisa demu nyoko kabisa
 
Simshangai said japo hayo maamuzi mi siwezi kuyafanya.
Kuna watu wakiwa kwenye mahusiano huweka mpaka nafsi zao hapo, ukiwazingua unakula za kichwa kama huyo bibie.
Umejengewa nyumba, umepewa magari, umefunguliwa biashara aaah weee kuachwa kindezi sio rahisi aisee 😀😀
 
Hahhahaaaa, pole sana mkuu
 
Mhhh
Ninajaribu kutafuta dots za kuunga kuhusiana na kusudio la polisi kuchunguza kifo cha mumewe matehem
 
Saidi kazingua, kumbe alikuwa na mke mkubwa na watoto,
Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu,
Kazingua si kidogo.
Naionea huruma familia aliyoiacha.
Dah!wakati mwingine kufanya maamuzi ukiwa na hasira ni hasara.
 
Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu swalha. Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Inaonekana alikuwa pisi kali maana nimeona mdogo ake mweupe flani hivi na kizuri sema chura nazani ndo hakuwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…