Mwanamke si sawa kwa vile ana mumewe ,Mume anaweza kukopa kwa matatizo ya mkewe hii ndiyo nafasi ya mwanaume.Kukopa kopa ni tabia ya mtu,
Sio wanawake tu, hata sisi wanaume.
Baada kukopa, anakuja jf mumpe idea
sasa mke Hana kazi anahudumiaje familia hizo na humtunzi kwa mahitaji mengine ..Wazazi wa mke!!!! Vipi wazazi wa mme!!!
Ni kweli kabisaSahii kbs, Mke anaona mme haeleweki
Nimkopee mimi? kwani anakopa kwa matumizi ya nani kwa mfano?Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Mbona nyingi sana, hata ingekuwa buku 1 akazwe tu , hao viumbe ni kawaida yao kutolipa madeni, nature yao ni kupokea hela sio kutoaYaani unamkaza mtu kisa 15k ?
😹😹😹 Sasa si ungemsaidia unaogopa nini??Huyo anayemkopesha mke ni jinsia gani,kama ni KE kwa Ke sawa.
Ila kama mwanamke anaenda kuazima vijisent Kwa mwanaume ni dhahiri wanaweza kulipana kivingine.
Mimi mwenyewe niliwahi kumkopesha Ke ambaye si mke wa mtu ila ni mtu mzima yaani naweza sema hata miaka 10 kanipita, akaahidi na tarehe atayorejesha, chaajabu katika asilimia 100 ya pesa niliyomkopesha alinirudishia asilimia 20 akadai hana pesa.
Nilipo muuliza nyingine atanipa lini akasema hana namna yeyote na pesa hana,ila Mimi niseme namsaidiaje.
Yaani mtu unamdai halafu uanze plan za unamsaidiaje
Sio dada yake ni age mate wake kabisaaa.!! 😹😹Huyo sio mother kwako ni dada. Mother ni yule aliyekuzidi miaka kuanzia 14 huko usigome kuzeeka mkuu.
Tema mate chini.Kama anakopa kwa wanaume huyo atatombeka sana
Sio umalaya, wanaume wengi sio wawajibikaji kwenye familia zao..!!Huyo ni Malaya mkuu
Hakuna mwanamme anaewalaza njaa wanafamilia hasta mmoja!!Unakazia unyumba tu kwamba umo ndani tufe njaa kisa ngenye zako lol🚮🚮
Sawa bhana mtuache na visiran vyetuHakuna mwanamme anaewalaza njaa wanafamilia hasta mmoja!!
Na huwa mnawanyima huku mmeshiba msosi Kwa sana na kifurushi Cha Azam on!!
Visirani tu!
Aah Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN OKW umehamia huku tena.Huo ni umalaya
Labda mume kapambana ila kashindwa ndo maana mama kaja kukopaMuda mwingine analipa , ishu ni kwamba akiumwa anakopa na unajua anaumwa , sasa mumewe anafanya kazi ipi ili kumsaidia mkewe ? Nina mushkeri nafasi ya mumewe .
Mtoto akiumwa anakopa pesa ili ampeleke hospital.
Hamchezi?!!!Aah Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN OKW umehamia huku tena.
Hata kwa dawa. Daima Mbele Nyuma Mwiko.Hamchezi?!!!