Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Kuna wapuuzi wamekuwa wakitetea kijinga upuuzi huu ambao hautakiwi katika nchi ambayo haiongozwi kwa misingi ya dini. Azam ajifunze kwa washindani wake ambao wanaajiri bila kujali misingi ya kidini. Kuna media zimejaza waislam huku wamiliki wake si waislam na hawana mpango wa kuajiri wafanyakazi wa imani yao tu. Kuna dini na madhehebu yasiyo ya kiislam utakuta wanaajiri mpaka waislam. Azam hata king'amuzi chake anaweka chaneli za dini isiyo yake kwa shingo upande na kutaka kuridhisha wateja wa bidhaa zake huku akijua anatumia masafa ya umma katika nchi isiyeongozwa kwa misingi ya dini. Ni kama anafanya hivyo kwa shinikizo tu ili aendelee kulikamata soko la bidhaa zake. Ana udini na ukanda sana
 
Mods waanzishe uzi maalaumu au jukwaa maalum kwa akili ya malalamiko ya kidini maana sasa too much wakati mnadai hayo mambo ya wavaa Kobazi sisi hatuna cha kulalamika na kulialia pogo hizo ni Completely inferiority .

Sasa naona kibao kaimegeuka kwenye siasa malalamiko Rais Samia anaendelea Waislamu,Soka nako vilevile eti Simba,Yanga na Azam inapendekeza Waislamu hadi kwenye media Azam Tv nayo inawahujumu Wakirsto. Nimesahau hadi mziki mliwahi kuwatuhumu WCB eti inapendekeza Waislamu.

Inasikitisha sana...
 
Mbali na Azam Media nimekuwa najiuliza mbona ukienda znz kwenye tawi la NMB unakuta karibia asilimia 99 ya watumishi ni wa huko, lakini nimeangalia tawi la PBZ lililopo Dar asilimia kubwa ni kutoka visiwani.

Anyway ngoja nifumbe mdomo
 
Mnapenda mambo ya udini nyie sijui mkoje ,mengi alikua mdini nambari Moja alikua anakataza mpk watangazaji wasivae mashungi kwenye kutangaza habari wakamhama kina Nyangasa Asilimia 95%ya IPP walikuja si waislam mbona watu hawalalamiki,hujalazimishwa tumia DStv na digitek n.k
 
Anzisha media yako ,madai Yako ni yakipuuzi hayana msingi wowote eti "anaweka channel zisizo za dini yake kwa shingo upande" unaweza kuweka ushahidi wowote au picha ya aliweka channel hizo channel hulu shingo ikiwa upande ?
 
Cha ajabu mbona hawalalamiki kua kwanini Simba na Yanga wawekezaji/Wafadhili wote ni waislamu?

πŸ˜€
 
adriz huko wapi mutu wangu?
 
Azam wameifuta adi Upendo tv .. channel nying za kikristo zinakata kata naona wanazihujumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…