Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

Hekima za mwanadamu ni upumbavu mbele za Mungu......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyempiga risasi Lissu ndio wa kulaumiwa kwa Lissu kuondoka na kwenda kujihifadhi nje ya nchi. Maana asingefanya hivyo kumsham ulia , Lissu angekuwa bado yupo nchini mpaka leo. Yani jitahidi kulaumu kisababishio na sio matokeo. Usilaumu mtu kuambukizwa virusi vya ukimwi laumu tabia ya Uzinzi.
 
Kwahiyo wewe hujafa mpaka Sasa kwakuwa u mwema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa msemaji wa Mungu...na kwakuwa u mtakatifu ndio sababu unaishi mpaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amin nadhani unaona matokeo.
 

Aliyetoa maagizo Lissu apokonywe uhai kafa.
 
Kwani wote waliopata virusi vya UKIMWI wamefanya uzinzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru umesema Mungu anajua Kila kitu hata haya yanayotokea. Mungu pia anaweza kutoa adhabu pale kunapotokea machukizo Kama alivyofanya kwa was misri , gharka la Nuhu.

Mimi naamini suala la Lissu Lina Mungu ndani yake. Huwezi kumfanyia mtu figisu kwenye uchaguzi wa urais, Halafu walioiba hawakudumu hata miezi mitatu kwenye urais. Akaja Rais ambaye hawakumtegemea.
 
Acha kupotosha mwenye kazi ya kuhukumu Ni Mungu pekee sio wewe binafsi. Ndio maana anakataza usihukumu usijehukumiwa. Wewe hujihukumu ila unajihoji kama upo vizuri na Mungu au la .

Mungu anafanya kazi usiku na mchana dunia Ni Mali yake. Damu ya mwanadamu aliyemuumba Mungu mwenyewe inapomwagika bila hatia Mungu hukasirika Sana. Damu ya Lissu iliyomwagika kwenye ardhi na haki haikutendeka itawasumbua Sana.
 
sahihi.
 
Kwa wanaotafakari hili jambo sio la kawaida.
 
HAPANA!!.... MUNGU YEHOVA si exclusive kwa kiasi hicho na kwa namna yoyote....

Yeye ndiye aliyesema kwa kila mtu "USIUE..."

Kwa kifupi sana ni kuwa, mtu yeyote kumuua mtu mwenzake is exclusively a BIG SIN....

However, na bahati njema ni kuwa, this sin is also forgivable just like any other sin...

Labda tunachoweza kukubaliana ni hiki, na ndivyo afanyavyo BWANA MUNGU siku zote...

Kwamba, ALITAKA na ANATAKA na ATAENDELEA kulitumia tukio hilo kwa ajili ya kutufundisha na hususani kuwafundisha somo mahususi watawala na wenye mamlaka wa serikali za kidunia (Tanzania) kitu fulani...

Kwa hiyo, Bwana Mungu Yehova aliruhusu risasi 16 ziingie ktk mwili wa huyu ndugu LAKINI Mungu aliifunga roho ya mauti ili kumfanya mtu huyu awe ZANA YA KUFUNDISHIA...!

Unfortunately, baadhi yao ni wajinga na wenye mioyo migumu kujifunza na kuelewa ili wajue yawapasayo kufanya na namna ya kuendelea mbele...

That's why wengine wanajifunza in a hard & costly way...

Mathalani, hayati John P. Magufuli moja ya kosa lililogharimu maisha yake hata kifo ni hili....

Huyu Paul Makonda naye kwa hakika kabisa ataishia pabaya zaidi kuliko alipo sasa kama hatapata akili ya kutubu na kuomba msamaha kwa muumba wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…