Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Safi kabisa kiwake motoKuelekea October 2025 bila Reforms basi Uchaguzi utakuwa mshikemshike
Hata wanaokataa pia Wana madaraka ,hofu Yao hayo madaraka yatapokwa!tatizo kubwa ni moja tu,
wanaojiona wajuaji na kuiona katiba hii ni batili, kwanza ni wachache sana na hawana hoja zenye mashiko kuwashawishi wananchi wengi kuona na kuamini katika ubatili huo,
na wananchi walio wengi wanaona mambo mengi ndani ya katiba yako sawa sawia, na vipaumbele vyao muhimu ni mahitaji yao ya kila siku yaliyo nnje ya katiba.
hata hivyo,
wapiga mdomo na makelele ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi na katiba ya nchi, wanalenga zaidi mabadiliko ya vyeo na madaraka kwa tamaa binafsi, chuki binafsi na wivu ambao hauna maana wala manufaa yoyote kwa wananchi ambao mahitaji yao muhimu ni kwenye kilimo, maji, afya, elimu n.k.
ndio maana hoja hii inafaa kupuuzwa tu. Na kwakweli hoja ya mabadiliko ya katiba itaishia JF na kwenye mitandao ya kijamii tu, Lakini field kwa wananchi hakuna habari na wala hawana haja na makelele ya katiba 🐒
Waa he ili iweje wakati hakuna ushindani sawa wa kisiasa?Kisheria inawezena,ila practicability it is impossible,utatakiwa,ku depost mahakamani,equivalent money ya budget ya maandalizi iliyokwisha kuwa spent kwenye maandalizi ili ukishindwa,hiye fedhaifidie!,nani anaweza ku afford?。 ndio maana nimemshauri TAL na Chadema, waache utopia wa no reforms,no election!。
P
Pasuka tuu,I'd ni ya Mtoa mada hata tukitumia mafumbo itajulikana tuu tunamsema mtu flani!Ni vile tu naogopa kuonekana akili za kitoto kwa kuzingatia angalizo lako. Lakini kimsingi sijaelewa leo umeandika nini... Umejaribu kutumia lugha fikirishi lakini ndio umepotea kabisa bro... Sijajua ni nidhamu ya uoga?? Au umo miongoni mwao lakini hupendi uonevu?? Unaogopa kukosa nafasi kesho?? Au shida nini bro...??? Trust me hata wachangiaji hutawapata wa kiasi kile kutokana na kuweka mada 'fungwa'... Open it up, toa wigo mpana wa michango...
Subject to correction...
sasa wenye mihemko na makasiriko kama wewe, bila hata ya kua na hoja sijui mnakuja kufanya nini kwenye mada hii muhimu sana kwa watu wenye iq kubwa,Alafu we tulia ,umeambiwa na mtoa mada kwamba hii ni mda kwa watu wenye IQ Kubwa sio ya kila mtu , sasa uchawa kwenye mada hii unatoka wapi, by the way wewe ni mtaka haki ila ccm imekuroga ,nimekwambia mara nyingi
unapokwa vipi kwa mfano na mabo yanafanyika bayana gentleman?Hata wanaokataa pia Wana madaraka ,hofu Yao hayo madaraka yatapokwa!
Hata mahitaji ya msingi lazima utokane na uongozi Bora unaojali wananchi kwa ujumla,ndio maana Utakuta kuna vitu feki vingi!nadhani kipaumbele cha wanainchi ni nahitaji yao ya msingi ya kila siku,
hayo ya kibinafsi ya vyeo na madaraka binafsi ya kifamilia yatafutiwe ufumbuzi binafsi, hakuna haja ya kusumbua wanainchi 🐒
Usishupaze shingo mkuu,hofu ya chama tawala ni Nyingi, Mgombea Binafsi, Uchaguzi kutosimamiwa na wakurugenzi nk.Hivi Kwa akili ya haraka chama Cha bosi wako kikishindwa uko tayari kusema kimeshindwa Labda uwe na faili Mirembe!unapokwa vipi kwa mfano na mabo yanafanyika bayana gentleman?
sasa wenye mihemko na makasiriko kama wewe, bila hata ya kua na hoja sijui mnakuja kufanya nini kwenye mada hii muhimu sana kwa watu wenye iq kubwa,
nyie ndio ambao tayari mmeshatapeliwa pesa na vibaka ombaomba wa kisiasa,
na mnajipanga kutapeliwa tena fikra, uhuru na haki ya kupiga kura kwa agenda zisizo na tija kama ile ya no reform no elections,
epuka kuvamia mada heavy weight gentleman kuliko upeo wa fikra wako gentleman, okey?
hofu ni yako na yako pekeyako gentleman,Usishupaze shingo mkuu,hofu ya chama tawala ni Nyingi, Mgombea Binafsi, Uchaguzi kutosimamiwa na wakurugenzi nk.Hivi Kwa akili ya haraka chama Cha bosi wako kikishindwa uko tayari kusema kimeshindwa Labda uwe na faili Mirembe!
Hapo sio hofu,Bali ni uhalisia hata dhamira Yako inakusuta!Ina maana huoni utofauti wa tume kama ajira ya Moja kwa Moja kama walimu na tume inayochaguliwa na misingibya chama kilichopo madarakani?Jibu kwa ufupi tume huru ni ya ajira kama ya ualimu na kazi zingine nk.Lazima tuwe wakweli ,uchawa sio Dili kabisa.hofu ni yako na yako pekeyako gentleman,
uchaguzi Utasimamiwa na mtumishi wa uma yeyote yule ambae atapewa jukumu hilo muhimu kwa niaba ya Tume Huru ya Uchaguzi bila kujali kelele wala mbambamba ya tapeli au kibaka yeyote wa siasa za Tanzania
gentleman,Hapo sio hofu,Bali ni uhalisia hata dhamira Yako inakusuta!Ina maana huoni utofauti wa tume kama ajira ya Moja kwa Moja kama walimu na tume inayochaguliwa na misingibya chama kilichopo madarakani?Jibu kwa ufupi tume huru ni ya ajira kama ya ualimu na kazi zingine nk.Lazima tuwe wakweli ,uchawa sio Dili kabisa.
Hii hoja nzito aione Pascal Mayalla!Mkuu kama mtu huru na msomi , achana na ukubwa wako katika media za tz
.
Ulitakiwa kuyaweka bayana mapema, leo mkuu wangu umekua wa kurukaruka kwa hoja ,mara ile mara hili ,tukuweke kundi gani?
Ni wakati sasa kwenda kwa Ndugu zetu Wa hadzabe wakufundishe namna bola ya kuishi kiasili na nini wakiaminicho katika maisha yao kwa uaminifu mkubwa , kuliko kuja na mikwara kibao ati asitajwe jina la mtu ,so what! , ni mtoto gani ,mtu gani asiejua unamsema nani
,that's uteuliwi ,
maana hata ningekua mie siwezi mteua mtu ambae sielewi wapi amesimama.
Leo useme mchawi ni mzuri ameweza nipaisha kwa ungo, kesho huyo uliemsifia unasema hafafi ,kaniloga, kauwa wanangu n.k. kweli alafu tukusifie ,hamna iyo kitu.
Wewe majuzi umekuja na andiko ukitaka Lissu asaidiwe katika kile yeye na chama chake wamekuja nacho kama msimamo wa chama (no reforms no election) na blabla kibao .
Leo unakuja na agenda nyingine nyuma ya pazia , mkuu vipi? tueshimiane watz sio mbulula.
Nakueshim mkuu ila ukiendelea na tabia hii, Nitakufungia siku 14 , ili ujue Yesu ni Bwana.
Taifa limefika tulipo kwa ujinga na upumbavu wetu sie wenyewe hasa sie tujifanyao wasomi.
Tunataka msimamo wako twende kwenye uchaguzi bila reform au la full stop ,
Thanks