Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

tatizo kubwa ni moja tu,
wanaojiona wajuaji na kuiona katiba hii ni batili, kwanza ni wachache sana na hawana hoja zenye mashiko kuwashawishi wananchi wengi kuona na kuamini katika ubatili huo,

na wananchi walio wengi wanaona mambo mengi ndani ya katiba yako sawa sawia, na vipaumbele vyao muhimu ni mahitaji yao ya kila siku yaliyo nnje ya katiba.

hata hivyo,
wapiga mdomo na makelele ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi na katiba ya nchi, wanalenga zaidi mabadiliko ya vyeo na madaraka kwa tamaa binafsi, chuki binafsi na wivu ambao hauna maana wala manufaa yoyote kwa wananchi ambao mahitaji yao muhimu ni kwenye kilimo, maji, afya, elimu n.k.

ndio maana hoja hii inafaa kupuuzwa tu. Na kwakweli hoja ya mabadiliko ya katiba itaishia JF na kwenye mitandao ya kijamii tu, Lakini field kwa wananchi hakuna habari na wala hawana haja na makelele ya katiba 🐒
Hata wanaokataa pia Wana madaraka ,hofu Yao hayo madaraka yatapokwa!
 
John Heche alipuka moto akiwa Arusha ngome mojawapo wa CHADEMA, chama kuwa na ngome siyo haramu mfano ACT Wazalendo Pemba na Kigoma, CHAUMMA Makumbusho jijini Dar es Salaam

21 February 2025

Arusha, Tanzania

JOHN HECHE ANAKIWASHA ARUSHA ANAFICHUA MAZITO TUSIYOYAJUA MUDA HUU..


View: https://m.youtube.com/watch?v=jaNgBa_d_Zk

Uliona wapi anayeomba kuchaguliwa akasimamia uchaguzi anaoshiriki, hii ni jeuri ya chama kongwe tawala CCM ... tulio pale Dodoma ambapo mgombea aligoma kutoka katika mkutano mkuu wa taifa wa CCM... Sasa hii siyo dalili nzuri kwa demokrasia ya nchi yetu kutokana na CCM kukosa uvumilivu wa kidemokrasia ...vyombo vya habari vinakaa kimya vimehongwa ...
 
Kisheria inawezena,ila practicability it is impossible,utatakiwa,ku depost mahakamani,equivalent money ya budget ya maandalizi iliyokwisha kuwa spent kwenye maandalizi ili ukishindwa,hiye fedhaifidie!,nani anaweza ku afford?。 ndio maana nimemshauri TAL na Chadema, waache utopia wa no reforms,no election!。
P
Waa he ili iweje wakati hakuna ushindani sawa wa kisiasa?

Iko wazi ccm imepoka miundombinu yote ya uchaguzi?

Huu ni uchaguzi au maigizo ya uchaguzi?
 
Ni vile tu naogopa kuonekana akili za kitoto kwa kuzingatia angalizo lako. Lakini kimsingi sijaelewa leo umeandika nini... Umejaribu kutumia lugha fikirishi lakini ndio umepotea kabisa bro... Sijajua ni nidhamu ya uoga?? Au umo miongoni mwao lakini hupendi uonevu?? Unaogopa kukosa nafasi kesho?? Au shida nini bro...??? Trust me hata wachangiaji hutawapata wa kiasi kile kutokana na kuweka mada 'fungwa'... Open it up, toa wigo mpana wa michango...

Subject to correction...
Pasuka tuu,I'd ni ya Mtoa mada hata tukitumia mafumbo itajulikana tuu tunamsema mtu flani!
 
Mayalla wenda ni mtego uliojificha katika kivuli cha media ikiwepo jf .

Binadam yeyote huwa na machaguo ,that's kuna mtu anakula samaki ,nyama , mwingine hali , sasa Mayalla yeye tumuweke kundi lipi hali nyama ,samaki ,au anakula ila kwa kificho ila mkikutana atakwambia hali .

Mayalla binabsi na Mungu wangu namuonya aseme yupo upande gani kwa machaguo hapo tajwa juu , sie sio midoli yake ambayo watoto wake huchezea sebuleni , hii ni hamri kutoka kwa Mungu wangu juu yake , asema Bwana
 
Alafu we tulia ,umeambiwa na mtoa mada kwamba hii ni mda kwa watu wenye IQ Kubwa sio ya kila mtu , sasa uchawa kwenye mada hii unatoka wapi, by the way wewe ni mtaka haki ila ccm imekuroga ,nimekwambia mara nyingi
sasa wenye mihemko na makasiriko kama wewe, bila hata ya kua na hoja sijui mnakuja kufanya nini kwenye mada hii muhimu sana kwa watu wenye iq kubwa,

nyie ndio ambao tayari mmeshatapeliwa pesa na vibaka ombaomba wa kisiasa,
na mnajipanga kutapeliwa tena fikra, uhuru na haki ya kupiga kura kwa agenda zisizo na tija kama ile ya no reform no elections,

epuka kuvamia mada heavy weight gentleman kuliko upeo wa fikra wako gentleman, okey? :pulpTRAVOLTA:
 
Huyu mama kichwani ni mweupe sana ogopa mtu anasema katiba ni kijitabu tu muda huo yeye ameshiba na likitambi limetangulia mbele hana stress. Huyu mtu ni sawa na mtoto mdogo kwamba hajui katiba ndio muongozo wa namna ya kuliendesha taifa? Anaona yeye na kikundi chake cha ccm ni bora kuliko watu zaidi ya million 60? Huyu ni shetani kupambana nae kwa maelezo tunachelewa.
 
15 February 2025
Tarime, Tanzania

CHADEMA YAZIDI KUIONYA CCM INAYOTUMIA VYOMBO VYA DOLA KUBAKIA MADARAKANI


View: https://m.youtube.com/watch?v=fcI6gSJFRfI

Mazingaombwe ya uchaguzi feki mwaka huu 2025 hayakubaliki. Vuguvugu la CHADEMA kuchagiza mabadiliko yaani No Reforms No Elections kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2025

Viongozi mbalimbali waliopanda jukwaani katika mkutano mkubwa wa hadhara wa CHADEMA mji mdogo wa Sirari wilaya ya Tarime mkoa wa Mara nchini Tanzania waendeleza kukoleza No Reforms No Election... kutokana na mbinu chafu za chama dola kongwe tawala CCM ...
 
nadhani kipaumbele cha wanainchi ni nahitaji yao ya msingi ya kila siku,

hayo ya kibinafsi ya vyeo na madaraka binafsi ya kifamilia yatafutiwe ufumbuzi binafsi, hakuna haja ya kusumbua wanainchi 🐒
Hata mahitaji ya msingi lazima utokane na uongozi Bora unaojali wananchi kwa ujumla,ndio maana Utakuta kuna vitu feki vingi!
 
unapokwa vipi kwa mfano na mabo yanafanyika bayana gentleman? :pulpTRAVOLTA:
Usishupaze shingo mkuu,hofu ya chama tawala ni Nyingi, Mgombea Binafsi, Uchaguzi kutosimamiwa na wakurugenzi nk.Hivi Kwa akili ya haraka chama Cha bosi wako kikishindwa uko tayari kusema kimeshindwa Labda uwe na faili Mirembe!
 
sasa wenye mihemko na makasiriko kama wewe, bila hata ya kua na hoja sijui mnakuja kufanya nini kwenye mada hii muhimu sana kwa watu wenye iq kubwa,

nyie ndio ambao tayari mmeshatapeliwa pesa na vibaka ombaomba wa kisiasa,
na mnajipanga kutapeliwa tena fikra, uhuru na haki ya kupiga kura kwa agenda zisizo na tija kama ile ya no reform no elections,

epuka kuvamia mada heavy weight gentleman kuliko upeo wa fikra wako gentleman, okey?
 
Kuna baadhi ya watu humuhumu jamii Forum,wako kichawa zaidi hata hoja ni Moja ya kutetea chama Chao hata bila kiangalia Nini madhara yake, maana hoja zenye mashiko ni urithi hata vizazi hadi vizazi kwa mema.
 
Mkuu kwani professor wa hayo madudu si ni mtaalam w sana sheria na katiba?? Halafu ni mwakilishi kule wanako gonga meza !! Ameshindwa kumwambia general kuhusu hili?? Je huyo alie sign na kuyaweka kwenye katiba ya JMT alikua hajui kuwa anakiuka katiba na hata baada ya mahakama kuusema huo ubatili bado wapo.

JIBU NI KWAMBA WANA MAKUSUDI KUNA KITU WAMEKILENGA KWENYE UCHAGUZI KWA KUWA WATANZANIA SIO KAMA MAJIRAN SISI GEN Y KWENYE MASLAHI MAPANA NA YENYE MUSTABALI WA MAENDELEO HATUNA. KAZI KUMSIFIA NYOKA WA KIJAN YULE MUOGA WATU ILI ASIWE ANAKIMBIA SAUTI NA MAKELELE
 
Usishupaze shingo mkuu,hofu ya chama tawala ni Nyingi, Mgombea Binafsi, Uchaguzi kutosimamiwa na wakurugenzi nk.Hivi Kwa akili ya haraka chama Cha bosi wako kikishindwa uko tayari kusema kimeshindwa Labda uwe na faili Mirembe!
hofu ni yako na yako pekeyako gentleman,

uchaguzi Utasimamiwa na mtumishi wa uma yeyote yule ambae atapewa jukumu hilo muhimu kwa niaba ya Tume Huru ya Uchaguzi bila kujali kelele wala mbambamba ya tapeli au kibaka yeyote wa siasa za Tanzania :pedroP:
 
hofu ni yako na yako pekeyako gentleman,

uchaguzi Utasimamiwa na mtumishi wa uma yeyote yule ambae atapewa jukumu hilo muhimu kwa niaba ya Tume Huru ya Uchaguzi bila kujali kelele wala mbambamba ya tapeli au kibaka yeyote wa siasa za Tanzania :pedroP:
Hapo sio hofu,Bali ni uhalisia hata dhamira Yako inakusuta!Ina maana huoni utofauti wa tume kama ajira ya Moja kwa Moja kama walimu na tume inayochaguliwa na misingibya chama kilichopo madarakani?Jibu kwa ufupi tume huru ni ya ajira kama ya ualimu na kazi zingine nk.Lazima tuwe wakweli ,uchawa sio Dili kabisa.
 
Hapo sio hofu,Bali ni uhalisia hata dhamira Yako inakusuta!Ina maana huoni utofauti wa tume kama ajira ya Moja kwa Moja kama walimu na tume inayochaguliwa na misingibya chama kilichopo madarakani?Jibu kwa ufupi tume huru ni ya ajira kama ya ualimu na kazi zingine nk.Lazima tuwe wakweli ,uchawa sio Dili kabisa.
gentleman,
usinilishe maneno tafadhali,
dhamira yangu na nia yangu ni njema sana kwa wananchi na waTanzania wote,

na ile muhimu sana najaribu kufanya kwaajili yao ni kuwaepusha kutapeliwa na vibaka wa kisiasa nchini.

uchaguzi huru, wa haki na wa uwazi utafanyika mapema oct.2025 mwaka huu bila kelele wala mdomo wa mtu yeyote, bali utafanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi na utasimamiwa na Tume huru ya taifa ya uchaguzi kadiri ilivyo jipanga.

ukamwambia haya hata mwenyekiti wa chama chako :NoGodNo:
 
Mkuu kama mtu huru na msomi , achana na ukubwa wako katika media za tz
.
Ulitakiwa kuyaweka bayana mapema, leo mkuu wangu umekua wa kurukaruka kwa hoja ,mara ile mara hili ,tukuweke kundi gani?

Ni wakati sasa kwenda kwa Ndugu zetu Wa hadzabe wakufundishe namna bola ya kuishi kiasili na nini wakiaminicho katika maisha yao kwa uaminifu mkubwa , kuliko kuja na mikwara kibao ati asitajwe jina la mtu ,so what! , ni mtoto gani ,mtu gani asiejua unamsema nani
,that's uteuliwi ,

maana hata ningekua mie siwezi mteua mtu ambae sielewi wapi amesimama.

Leo useme mchawi ni mzuri ameweza nipaisha kwa ungo, kesho huyo uliemsifia unasema hafafi ,kaniloga, kauwa wanangu n.k. kweli alafu tukusifie ,hamna iyo kitu.

Wewe majuzi umekuja na andiko ukitaka Lissu asaidiwe katika kile yeye na chama chake wamekuja nacho kama msimamo wa chama (no reforms no election) na blabla kibao .

Leo unakuja na agenda nyingine nyuma ya pazia , mkuu vipi? tueshimiane watz sio mbulula.

Nakueshim mkuu ila ukiendelea na tabia hii, Nitakufungia siku 14 , ili ujue Yesu ni Bwana.



Taifa limefika tulipo kwa ujinga na upumbavu wetu sie wenyewe hasa sie tujifanyao wasomi.

Tunataka msimamo wako twende kwenye uchaguzi bila reform au la full stop ,
Thanks
Hii hoja nzito aione Pascal Mayalla!
 
Back
Top Bottom