funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii.
Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile.
Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni Rais wa Zanzibar Sasa Dr.Hussein Mwinyi.hata hivyo mazingira yalioelekea Rais Mwinyi aongoze Zanzibar.
Bila kupoteza kumbukumbu Rais samia aliingizwa kwenye kinyang'anyiro kigumu cha kupigiwa kura ya kuwa mgombea mwenza huku akipambana na mmoja wa mgombea "aliyeletwa" na Team lowassa kipindi hiko ila kwa kuwa Mungu na Siasa zilipanga awe hatimaye alishinda kwa kishindo na kuwa mgombea mwenza na hatimaye makamu wa Rais.
mimi ni muumini wa ushindani lakini pia ni muumini wa historia za kweli.
kama unahisi kuna mwanasiasa mwenye kaliba na uzoefu wa Uwenyekiti wa CCM na Urais wa JMT Basi mtaje hapa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!