Kama samia kaweza kuiongoza hii nchi basi hakuna mtanzania asiyeshindwa, huyu mama hana kipawa cha uongozi wala wito wa kuongoza, zaidi ya kutegemea bahati ya kubebwa/vyeo vya kujuana.
Kiuhalisia kabisa samia haingii hata robo ya uwezo wa uongozi kwa Dr. Tulia aksoni, sasa bado sijawataja wanaume huko huko ktk chama mfu cha ccm ambao wengi wanaomzidi uwezo.
Narudia tena, samia hana uwezo wa kuongoza zaidi ya kutegemea back effort ya kumpush afanye mambo, hana nguvu ya ushawishi, hana nguvu ya mamlaka ya uongozi, yeye anachokitegemea ni ile tu utisho wa cheo cha urais, tofauti na hapo nadhani hata akina mwijaku/babalevo wanaweza shika uongozi wakafanya makubwa zaidi ya huyu mama yenu asiye na maono.
CCM ukiwatoa hao mashetan waliojimilikisha hicho chama kuna ambao hawasikiki au hawana sauti za maamuzi chamani lakini wana uwezo mkubwa kuliko TAKATAKA zote hapo chamani,
Wengi mnawajua mbona hakuna haja ya kuwataja