Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

Aiseeee pole sana humu mbona naitwa sukuma gang daima JPM ni jembe kwangu. Wewe chawa ndio unayempondea na kumsifia kinafiki
mbona sikukumbuki katika waliowahi kumtetea na kumshabikia Magufuli au ndio nimezeeka?
 
Kama samia kaweza kuiongoza hii nchi basi hakuna mtanzania asiyeshindwa, huyu mama hana kipawa cha uongozi wala wito wa kuongoza, zaidi ya kutegemea bahati ya kubebwa/vyeo vya kujuana.

Kiuhalisia kabisa samia haingii hata robo ya uwezo wa uongozi kwa Dr. Tulia aksoni, sasa bado sijawataja wanaume huko huko ktk chama mfu cha ccm ambao wengi wanaomzidi uwezo.

Narudia tena, samia hana uwezo wa kuongoza zaidi ya kutegemea back effort ya kumpush afanye mambo, hana nguvu ya ushawishi, hana nguvu ya mamlaka ya uongozi, yeye anachokitegemea ni ile tu utisho wa cheo cha urais, tofauti na hapo nadhani hata akina mwijaku/babalevo wanaweza shika uongozi wakafanya makubwa zaidi ya huyu mama yenu asiye na maono.

CCM ukiwatoa hao mashetan waliojimilikisha hicho chama kuna ambao hawasikiki au hawana sauti za maamuzi chamani lakini wana uwezo mkubwa kuliko TAKATAKA zote hapo chamani,

Wengi mnawajua mbona hakuna haja ya kuwataja
 
Ndiyo ujue watu wana watu wao wananunua wagombea
Magufuli ni wa Kikwete na samia ni wakikwete pia
Yani alimuweka mtu na backup yake kabisa kwahiyo leo anakula kiulaini na bado anautaka muendelezo huku rizi akiendelea kukuwa
Afu huyu mwamba ni bonge la snich yule m.bwanga ameshapigwa chini asije akaharibu mipango kizmkaz ameishi nafasi yake
Leo tuna na underground mawaziri wana dream za kuwa wakubwa kama Kikwete wanatengeneza watu wao kwaajili ya kuwa na nguvu zaidi kisiasa huko baadae
Hata jeshi liliwakazia juzi tu waliongea wanajeshi kwamba kuna watu wanaingiza watu wao jeshini ili baadae waje kuwatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…