Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?


Ahsante Sana. Mimi sasa ninaelekea kuzeeka. Lakini bado wazee wa humu wananiambia niendelee kusongesha kusaidia ingizo jipya.

Kuna vijana nawaona wanakuja vizuri sana.

Napenda vijana wanaoandika vitu virefu vyenye maana.

Sipendi baadhi ya watu wanaowazuia vijana kufaisi ujana wao kujadili mambo ya hovyo(ya ujana) sio muda wote wawe serious
 
Kuzeeka ?😁 wewe bado ni kakijana kadogo bwashee
 
Kwa andiko hili ni dhahiri bado una nguvu kaka hongera endelea kua nasi tuna appreciate uwepo wako humu japo some time tunakinzana mitazamo

Nakumbuka kipindi cha uchaguzi kuna nyuzi zako fulani ulikua unafungua watu wanakusagia kunguni but still upo Heshima yako Bro🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…