Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Hapo uchague mwenyewe ,kutokuwa na matarajio yoyote, au uwe na matarajio siku moja unaweza shindaπŸ˜„
Mkuu acha kabisa.... One day yes
Unajua kiufupi nasomesha katoto ka muhindi kale ka mwisho.

Kila siku nakapa pesa ya mayai na maziwa na bado ada nalipa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…