Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Ni swali rahisi sana Lakini ni gumu vile vile

Nawatakia mchana mwema [emoji23]
Huyo mwenezi naye alikuwa na ziara hapo Wasafi FM? hiv hizi akili za kipumbavu mnazitoa wapi?
nchi ina wapumbavu sana moja wapo mleta maada, yaani unajiona umejrnga bonge la joja kumbe ni full ujinga mtupu
 
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..

Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi

Yanga na Simba Zina miaka zaidi 70@, lakini zinatumia uwanja ww taifa, kwanini hatuoni wakinyimwa kutumia uwanja wa taifa Ili wawe na viwanja vyao. Kama Kila chama kitafungua kituo chake Cha matangazo, hao wenye vituo vya matangazo watakula wapi? Kwanini usipendekeze Kila shule ya serekali iwe na usafiri wao Ili wanafunzi wasiteseke? Acha uboya we mzee.
 
Hana anachowaza kwa upana wake.Anawaza alichoulizwa kwa muda huohuo.Ukimbadilishia swali lilelile kwa muundo uliochangamka ili ajibu tena utazimia.
 
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..

Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Walishafungiwa gazeti lao Tanzania daima vp walipo lalamika uliwasadia
 
Kwani alilipia shilingi ngapi hiyo session mpaka ahoji , huyu jamaa tahira. Kama anataka kufikisha habari kwa wananchi ana nafasi ya kuitisha mkutano sio kutia huruma kwenye media za watu. Pengine wadhamini wa kipindi ashawanyea zamani hawataki sasa atumir hela zao kujiliza liza.
 

Hawaja asses kabla ya kumuita, Bali wamefanya assessment baada ya majizi ya kura ya ccm kuwakataza? Mabwanyenye wapi wanaomtegemea Lisu wakati Kila kitu wanapewa na ccm, ni kipi hawajapewa Hadi sasa useme Lisu ndio atawapa? Bandari mmeshawapa, misitu mmeshawapa, madini ndio wako hatua za mwisho kuyamalizia, ngorongoro wanajidai tu. Hizo propaganda za kizee mkawapelekee waliopoteza ramani huko bush.

Nasema hivi, acheni kuharibu biashara za wanaume, wakati mmeshapoteza mvuto.
 
Siyo Wasafi.Inajulikana wametishiwa(blackmailing & intimidating) ili CCM isiachwe imevaa shanga tupu bila kipande cha nguo kwenye soko la kijiji.
Kama umesikiliza hotuba ya Kinana ya juzi A to Z jinsi CDM walivyowasumbua nyuma ya pazia kwenye hayo maridhiano na mambo ya kitoto mpaka hoi.

Kuna wasaa Kinana kama hoi ila akimuendea mwenyekiti wake kumueleza jamaa awawezekaniki awapo reasonable kwenye demand zao, ‘bi tozo’ ndio kwanza anawaambia labda wanahoja endelea kuwasikiliza tu.

Yaani ‘bi-tozo’ kwa maelezo ya Kinana anawachekea hao CDM mpaka wametafuta sababu ya kususia hayo maridhiano wenyewe watafute kiki.

Sioni sababu ya mwenyekiti na raisi huyu kuangaika na CDM watakachofanya tena kutafuta kiki.

Kuzuiwa kufanya hiyo interview wasafi sioni mkono wa CCM; kwa mtu aliesikiliza hotuba ya Kinana na msimamo wa mwenyekiti wao kwenye democracy (ametoa picha yenye maelezo ya kina, Samia ni raisi wa aina gani).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…