LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Tatizo kubwa Ccm ni waongo na wezi, halafu wana chukia ukweli.Ujinga tu kwani wangemuacha kungekuwa na shida gani?
Ukiwa mkweli wata kupiga vita sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kubwa Ccm ni waongo na wezi, halafu wana chukia ukweli.Ujinga tu kwani wangemuacha kungekuwa na shida gani?
Huyo mwenezi naye alikuwa na ziara hapo Wasafi FM? hiv hizi akili za kipumbavu mnazitoa wapi?Ni swali rahisi sana Lakini ni gumu vile vile
Nawatakia mchana mwema [emoji23]
panicMpuuzi huyu ,kwa wasafi amekeza shilingi ngapi ?
Inakuja lini? Nchi hii hakuna upinzani,hao mnaoita wafuasi wenu ni pale ccm ikizingua ila Makonda akirekwbisha woote wanarudi.
Nyumi kama hizi Zina matumaini na Makonda
View: https://www.instagram.com/reel/C3CVLCEJGqX/?igsh=MW43bjY5djN4Z3FoZg==
Wewe ndiye mwandani wake kwamba anazijua ama la?Lisu anazijua
Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..
Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Kwani UN ndo wanatoa Katiba?Mbona nyie mnatumia miguu kulazimisha hoja? Maandamano ya kwenda UN yamewapa Katiba?
mie nadisect na dijesti na kuexcute coded reasons za postponement ya hiyo interview ya puppet in political sphere🐒Je hiyo ndiyo sababu waliyoiweka publicly?
Hana anachowaza kwa upana wake.Anawaza alichoulizwa kwa muda huohuo.Ukimbadilishia swali lilelile kwa muundo uliochangamka ili ajibu tena utazimia.Yanga na Simba Zina miaka zaidi 70@, lakini zinatumia uwanja ww taifa, kwanini hatuoni wakinyimwa kutumia uwanja wa taifa Ili wawe na viwanja vyao. Kama Kila chama kitafungua kituo chake Cha matangazo, hao wenye vituo vya matangazo watakula wapi? Kwanini usipendekeze Kila shule ya serekali iwe na usafiri wao Ili wanafunzi wasiteseke? Acha uboya we mzee.
Na hapo ndo umejaza mavi tumboni unajishongondoa hivi je ungekuwa huna! NyambafuWasafi wameepuka Nuksi 🐒
Wale wamejilipua aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Media yenye uwezo wa kuhoji mtu yoyote ni ya yule Ngosha wa Mwanza Mzee Anthony na kijana wake Mtozi [emoji209] na Odemba
Walishafungiwa gazeti lao Tanzania daima vp walipo lalamika uliwasadiaNdio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI... mnaweza kusema ohoo havitosajiliwa, sawa ILA mlishajaribu kuomba kwa kufuata TARATIBU zote?..
Ombeni kwa kufuata taratibu zote, wakikataa, NJOONI kwa Wananchi
Akiambiwa awapandie akina mama migongoni kuelekea jukwaani huwa ni mwepesi sana kuitikia.Diego Maradona wa Mtama ni mtu muoga sana
Ikabodimie nadisect na dijesti na kuexcute coded reasons za postponement ya hiyo interview ya puppet in political sphere🐒
Sio sawa, biashara au huduma zinategemeana!Ndio muone sasa umuhimu wa kuwa na VYOMBO vyenu vya HABARI
wasafi sio manyumbu,
wameasess impact ya iyo interview wakabaini itaharibu image yao wakoaona ni busara kuicancel na kumuarifu muhusika.
Hapo kuna ubaya gani na ni chombo cha habari huru 🐒
By the way maybe wamebaini pia huyo mjamaa hakua anawawakilisha waTz but mabwenyenye yanayomtuma kutoka ng'ambo kwahiyo hakukua na sababu za kumruhusu bilashaka walimshauri aende kujaribu Al Jazeera 🤣
Kama umesikiliza hotuba ya Kinana ya juzi A to Z jinsi CDM walivyowasumbua nyuma ya pazia kwenye hayo maridhiano na mambo ya kitoto mpaka hoi.Siyo Wasafi.Inajulikana wametishiwa(blackmailing & intimidating) ili CCM isiachwe imevaa shanga tupu bila kipande cha nguo kwenye soko la kijiji.